Kenya lags behind in this

Kenya lags behind in this

Apart from the above, the biggest strength that kenya has over other sub saharan african countries is education apart from botswana. south africa is highly dependent on the skills of the minority white people and indians(if they leave south africa will become Tanzania), the black south africans are equally as incompetent as their Tanzanian counterparts but we can excuse them because they just recently over threw an apartheid system.
Tanzania has the best doctors and best Hospitals, just behind South Africa in the continental [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kati ya World Bank ambao huwapa mikopo ya miradi hii ya umeme na Waziri toka Republic of Magufulistan, ambapo kuna sheria za takwimu unataka tumuamini nani?
Credible source ni Energypedia au World Bank. Ila hulazimishwi, ikiwa unamkubali bwana waziri ni sawa pia.
Kumbuka kwamba World Bank hupata hizo taarifa toka kwa waziri, wao hawana wawakilishi huko vijijini kujua na kufuatilia kila mwaka, mara nyingi huwa wanauhisha taarifa zao kila baada ya kipindi cha miaka kadhaa. Ninauhakika hii data walipotumia ni taarifa ya mwaka 2016/17, bada hawajakusanya za mwaka 2019/20.

Waziri amesema wazi kwamba mwishoni mwa 2015, vijiji vilivyokua na umeme vilikua 2,000 tu kati ya vijiji vyote 12,000, ndani ya miaka minne wamiunganisha vijiji 6,000 na kuifikisha jumla ya vijiji 8,000. Kwasababu hii taarifa imetolewa na waziri, ni kauli ya serikali, Kama kuna mtu au shirika lolote lina mashaka yoyote, wanapaswa kwenda na kupata ufafanuzi toka serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No, it was 2019 not 2016, in 2020 it has increased to 1602 MW. Hopes are pegged on stiegler's dam to produce about 2100 MW but it will not be completed anytime soon.
Kabla ya stieglers kuna miradi ya gas pale kinyerezi ambayo ittaboost pia, mwaka huu tu gas itaongeza zaidi ya 200MW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Diwani CCM amewasilisha mahakamani ombi la uchaguzi uhairishwe mwaka huu.
2. Mgao wa umeme Tanzania ni kawaida so your 70+% ni uongo mtupu...you mean 1350MW has been distributed to Citizens? What about viwonder vyenu kwani zinatumia nguvu ya wanyama badala ya umeme?
Mawazo yake tu hayo mteme. ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka kwamba World Bank hupata hizo taarifa toka kwa waziri, wao hawana wawakilishi huko vijijini kujua na kufuatilia kila mwaka, mara nyingi huwa wanauhisha taarifa zao kila baada ya kipindi cha miaka kadhaa. Ninauhakika hii data walipotumia ni taarifa ya mwaka 2016/17, bada hawajakusanya za mwaka 2019/20.

Waziri amesema wazi kwamba mwishoni mwa 2015, vijiji vilivyokua na umeme vilikua 2,000 tu kati ya vijiji vyote 12,000, ndani ya miaka minne wamiunganisha vijiji 6,000 na kuifikisha jumla ya vijiji 8,000. Kwasababu hii taarifa imetolewa na waziri, ni kauli ya serikali, Kama kuna mtu au shirika lolote lina mashaka yoyote, wanapaswa kwenda na kupata ufafanuzi toka serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
World bank hawaokoti na kuchapisha chochote wanachopandikiziwa bana..

Km ni hvo si wangelianza na pale kw ukuaji wa uchima hamkwenda sambamba ki data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometime kaa ukitumia akili, yani hivi wewe US embassy inakosa backup generator kwel eti hadi walalamikie umeme na kuanza kuingia twitter ku post upupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio hutumii akili, Generator ni kwa ajili ya matumizi ya emergency tu na kwa siku chache, Kama tatizo linaendelea kwa muda mrefu, lazima wapunguze masaa ya Kazi.

Kitu ambacho kinanishangaza Sana kwa ninyi wakenya, huwa mnapinga hata vitu vya wazi kabisa. Ninyi mumezoea mambo ya rushwa na kudanganyana, kwahiyo kwenu mnadhani watu wote wanasema uongo au wamepewa rushwa ili kusema au kufanya jambo fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
World bank hawaokoti na kuchapisha chochote wanachopandikiziwa bana..

Km ni hvo si wangelianza na pale kw ukuaji wa uchima hamkwenda sambamba ki data

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo WB wanakwenda vijijini na kuhesabu kila kijiji kilichowekewa umeme?. Mbona makadiria ya kukua uchumi wa Tanzania yalikaribiana na makadiria ya serikali kuliko ya IMF na wenyewe walikubaliana na serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom