Kenya leads East Africa peers in access to electricity

Kenya leads East Africa peers in access to electricity

Hiyo ndio style ya magu..yeye hana mdomo kubwa, anafanya mambo yake bila mbwembwe na sifa za kijinga. SGR amenyamazia tuu lakini kazi inaendelea tena kwa mwendo hatari..Huku kenya Jubilee ikitengeneza tunnel moja wanaweka picha kila mahali ni kama wamemaliza mradi 😀
Wewe unawajua vizuri sana ndugu zako hao. Wewe umeshaona rais gani wa kiafrika au develeping countries, hadi anamaliza kipindi cha uongozi wake hajaenda Europe au America?
 
Wewe unawajua vizuri sana ndugu zako hao. Wewe umeshaona rais gani wa kiafrika au develeping countries, hadi anamaliza kipindi cha uongozi wake hajaenda Europe au America?
Mimi nimeona mmoja. Alikuwa anaitwa rais Kinjeketile Ngwale. 😀
 
Sema my darling, USAID wana research team kila nchi kukusanya data za nchi husika?, stupid.
You are stupidest unadhani USAID ni chama ya kijiji. Punguza ushamba PUGA. USAID wapo Tanzania go ask your girlfriend she is sharper than you mongoloid.
 
Hapo ndio ujue kwamba dunia imepata mtu tofauti sana, sio rahisi kuleweka kwa watu wanaotumia akili za kawaida za mitaani.
Acha kutetea mshamba mwenzako. Nadhani ilimkosti sana kunywa kile kikombe cha babu kule Loliondo. 🙂
 
You are stupidest unadhani USAID ni chama ya kijiji. Punguza ushamba PUGA. USAID wapo Tanzania go ask your girlfriend she is sharper than you mongoloid.
Actually ninakubaliana na wewe kwamba I am stupid, ila nimekuuliza swali, hao USAID wana team on the ground kukusanya data za nchi nzima?,au wanaenda serikali kupata taarifa mbali mbali ndiyo wanazifanyia verifications, au hujui jinsi scientific and non scientific data zinavyokusanywa?. By the way mama yako ameacha siku hizi kwenda Koinange street?
 
Ateee waaat? [emoji15][emoji15][emoji15] Naona giza totoro limekuafekti.
Tanzania is almost twice bigger than Kenya and population is 57 million Tanzania and 49 million Kenya so what is surprising you?

You have worst electricity tariffs in the world
 
You are stupidest unadhani USAID ni chama ya kijiji. Punguza ushamba PUGA. USAID wapo Tanzania go ask your girlfriend she is sharper than you mongoloid.
USAID picks figures from WB/IMF which again picks from Gvts ministries, last WB report on electrification was dec 2015. We are a whole 2 years from 2015..Kenya Gvt has revised its data from 67% to 71%. Tz Gvt has revised from 35% to 70%. Eat your hypocrisy
 
Kuhumiwa ndio nini? Offcourse the WB figures of Dec. 2017 are not yet available. You think WB trusts any info just because a govt says so? Kenya right now, if all goes well is on its way to universal connectivity. 90+ Projections for 2018 were already at 67.5%. Wewe endelea kusikiza hekaya za abunuwasi.
upload_2018-5-8_16-35-2.png

580,367 km²
upload_2018-5-8_16-36-23.png

945,087 km²
Unawezaje ringanisha?
 
Attachments

  • upload_2018-5-8_16-35-43.png
    upload_2018-5-8_16-35-43.png
    968 bytes · Views: 18
Ukishafikia hatua ya kusema hivi, ninajua umekaukiwa na points, ngoja nikuache upumue kidogo, ili uje kivingine.
Nimekosea wapi jombaa, mimi nasema kama ilivyo.
dkmgupombe-jpg.26252
Hiki si ndio kile kikombe cha 'babu' Mbilikile wa Loliondo? [emoji15] Unaona mkulu anavokibugia 'by force'? 🙂
 
USAID picks figures from WB/IMF which again picks from Gvts ministries, last WB report on electrification was dec 2015. We are a whole 2 years from 2015..Kenya Gvt has revised its data from 67% to 71%. Tz Gvt has revised from 35% to 70%. Eat your hypocrisy
So now you work for USAID? Just another dumbstar from LCD trynna act bright. I work for an international NGO and this data is collected raw in conjunction with the government. Even when the data source is clearly stated bado pumbavu tu inakuja na maneno yake kujitungia.
 
Electricity access rate in Kenya is the highest in East Africa according to the latest report from the World Bank tracking global achievements in sustainable energy for all.

According to The Energy Progress Report that was released by the World Bank on 2nd May covering the period up to 2016, electricity access rate in Kenya stood at 56%, compared to Tanzania (32.8%), Rwanda (29.37%), Uganda (26.7%) and Burundi (7.5%).

We know this since 1960's mkuu!

You guys are runnin' outta news now!
 
Actually ninakubaliana na wewe kwamba I am stupid, ila nimekuuliza swali, hao USAID wana team on the ground kukusanya data za nchi nzima?,au wanaenda serikali kupata taarifa mbali mbali ndiyo wanazifanyia verifications, au hujui jinsi scientific and non scientific data zinavyokusanywa?. By the way mama yako ameacha siku hizi kwenda Koinange street?
Wewe hakuna kitu unajua about data co0llection au unadhani wanaenda wakihesabu post za stima au bulb kwa manyumba. Kama ulisoma statistics shule hungekua unaniuliza swali za kijinga kama hio.
 
So now you work for USAID? Just another dumbstar from LCD trynna act bright. I work for an international NGO and this data is collected raw in conjunction with the government. Even when the data source is clearly stated bado pumbavu tu inakuja na maneno yake kujitungia.
Working as a sweeper in an NGO does not qualify you to comment on WB data. These useless ngo's you work for are the ones spreading fake news in kenya and tz to distabalized the legitimate gvts. Vibaraka wa george soros 😀
 
Wewe unawajua vizuri sana ndugu zako hao. Wewe umeshaona rais gani wa kiafrika au develeping countries, hadi anamaliza kipindi cha uongozi wake hajaenda Europe au America?
Sasa kama hajui kizungu atasaidika aje? Wacha akae hicho kijiji cha tanzania juu atawaibisha aisee😀😀😀😀
 
Sasa kama hajui kizungu atasaidika aje? Wacha akae hicho kijiji cha tanzania juu atawaibisha aisee😀😀😀😀
Kizungu kinawasaidia watu ambao lengo lao kubwa ni kuolewa na mabwana wa kizungu. Kuna nchi moja hapa Africa inathamini sana kizungu matokeo yake wanaume wengi wa nchi hiyo huishia kuolewa Marekani[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom