vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Haya ndugu mwenye huduma namba !!! By the tuna angalia citizen tv tu sababu kuna damu za watz pale ...... Binti
Ndugu
Ndugu kama kenya angekuwa ipo katikati ya somalia na North sudan ...i am sure kusingekuwa na aman at all ....yaan ni bahati sana kwa wakenya kupakana na Tz upande south ambako ndio kuna maendeleo lkn northern kenya kule ni another story wanajitahidi sana kuprotect lkn kife kule ni mbayaaa nafikiri mungu alipenda kuwawekea jiran Tz .....
Shida si kupakana na Somalia, shida ni kwamba kuna wasomali ambao Ni Wakenya, hivyo ni shida kutofautisha