Kenya: Madaktari kutoka Cuba watekwa nyara

Haya ndugu mwenye huduma namba !!! By the tuna angalia citizen tv tu sababu kuna damu za watz pale ...... Binti
Ndugu

Ndugu kama kenya angekuwa ipo katikati ya somalia na North sudan ...i am sure kusingekuwa na aman at all ....yaan ni bahati sana kwa wakenya kupakana na Tz upande south ambako ndio kuna maendeleo lkn northern kenya kule ni another story wanajitahidi sana kuprotect lkn kife kule ni mbayaaa nafikiri mungu alipenda kuwawekea jiran Tz .....

Shida si kupakana na Somalia, shida ni kwamba kuna wasomali ambao Ni Wakenya, hivyo ni shida kutofautisha
 
Wewe kichencheleee kweliii v neno power breakfast ni mali ya kenya ? Iyo ni lugha mzee basi kama ni ivyo neno news pia tvs za afrika zimeiga !! ..star tv hairushi vipindibvya citizen even a single day labda ktk taarifa za afrika mashariki sometime ndio wanachukua habari toka stations tb za nchi zingine
Si ndio hapo.
Ni wajinga sana hawa, usicatch sana mafeelings ukiargue nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya akili zao hazina tofauti na panzi mtu ana kufa na njaa lakini ana ataku ambia hali nzuri maiti zina shikiliwa na hospital wana shindwa kuzika wapendwa wao.Ni watu ambao wanaumia na maumivu yao ndio maana uwezi jua mwanamke na mwaume sura zao ngumu sana kwa sababu ya manunguniko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuruka ruka na kuhamisha goal post ndugu yangu Lubulila. Alafu yaani wewe hapo unaona sifa wanahabari wenu wanapofanya copy and paste kutoka kwa wenzao wakenya? Tena wanaiga yote kutoka jina, content hadi mtindo wanaotumia kupeperusha kipindi chao. Hiyo ni zaidi ya aibu.
Ok, assuming you're right, kwani hizo za kenya zilianza mwaka gani ukicompe na za bongo. Which are the latest ones, because you assume the latest ones copied from the earliest ones in kenya, si ndio.
Haya ambia sisi ipi ilianza..
Otherwise nenda kanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida si kupakana na Somalia, shida ni kwamba kuna wasomali ambao Ni Wakenya, hivyo ni shida kutofautisha
Hao si wamejipenyeza enzi zile walippo wafaziki ...lkn all in all kuwa nao ndani ingekuwa ni rahis kuwa manage .... Ss unaona hapo wanaingia ndan ya nchi wanafanya matukio ya kijinga then wana aibisha taifa .....
 
Askari na jeshi la kenya ni Dhaifu sana..Hivi wadhungu hawa wanavyo lindwa na vikosi vya juu(Elite Squad) wanawezaje kutekwa?
Usishangae kwamba jeshi lenyewe fisadi limewateka wakitegemea kupewa fedha..Failed state
Wameshindwa mziki wa vijana wa kisomali wenye miaka 18 sasa wameamua kuwateka wao ili Cuba iingie kati kwenye ugomvi usiowahusu
Hizi mbinu za kizamani sana na sasa zilipendwa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wakenya akili zao hazina tofauti na panzi mtu ana kufa na njaa lakini ana ataku ambia hali nzuri maiti zina shikiliwa na hospital wana shindwa kuzika wapendwa wao.Ni watu ambao wanaumia na maumivu yao ndio maana uwezi jua mwanamke na mwaume sura zao ngumu sana kwa sababu ya manunguniko
Sasa hizo zenu laini kutokana na ulaji wa albino na kunywa supu yao zimewasaidia na nini?Akili nazo usiseme maana hizo mlinyimwa kabisa.Kumpata mtanzania aliye na akili ni kama kuyapata maziwa ya kuku ama mayai ya ng'ombe. Vi racists nyinyi. Diabolical elements from a dead state.
 
Haya ndugu mwenye huduma namba !!! By the tuna angalia citizen tv tu sababu kuna damu za watz pale ...... Binti
Ndugu

Ndugu kama kenya angekuwa ipo katikati ya somalia na North sudan ...i am sure kusingekuwa na aman at all ....yaan ni bahati sana kwa wakenya kupakana na Tz upande south ambako ndio kuna maendeleo lkn northern kenya kule ni another story wanajitahidi sana kuprotect lkn kife kule ni mbayaaa nafikiri mungu alipenda kuwawekea jiran Tz .....
Mi nawaombea Amani itawale Kenya ndugu. Nilisafiri kwenda Nairobi niligundua system haijakaa vizuri especially nilipokuwa stendi abiria anakosa Uhuru kabisa ni kama Jeshi lalifanyi kazi yake ipasavyo. Ukiiangalia Tanzania kuna kitu mwl Nyerere alikiweka mioyoni mwa Watz ukiiangalia population kubwa ya waislam ipo Tanzania kuliko Kenya. Ukiiangalia Ile Zanzibar lakini nchi imetulia. Kenya pia siasa na ukabila vinaimaliza Kenya . Jomo Kenyatta alishindwa kuunganisha makabila waishi kama ndugu. Tz na Amani yetu Nyerere's alifanya kaxi kubwa

Mungu ataisaidia watafuzu kurejesha aman .....
 
Wakenya akili zao hazina tofauti na panzi mtu ana kufa na njaa lakini ana ataku ambia hali nzuri maiti zina shikiliwa na hospital wana shindwa kuzika wapendwa wao.Ni watu ambao wanaumia na maumivu yao ndio maana uwezi jua mwanamke na mwaume sura zao ngumu sana kwa sababu ya manunguniko
Mzee baba unaongea ukweli watakusikia awa alshabab wakuteke.Mana ukitoa taarifa ya kenya ata kama ni kweli kwao ni Battle na wa tz.
Kuna haja ya kuwapima tezi dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hizo zenu laini kutokana na ulaji wa albino na kunywa supu yao zimewasaidia na nini?Akili nazo usiseme maana hizo mlinyimwa kabisa.Kumpata mtanzania aliye na akili ni kama kuyapata maziwa ya kuku ama mayai ya ng'ombe. Vi racists nyinyi. Diabolical elements from a dead state.
Akili zenu na panzi hakuna tofauti tatizo njaa ina wasumbua uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mmeshindwa kupambana na makazi ya vibanda je mambo makubwa mtaweza kweli
 
Kenya imeiga yafuatayo
1) Nyumba kumi
2)Kutafuta ghost workers serikali ni
3)BRT
4)Electric train
5)Mapambano ya rushwa
6)Kupunguza marupurupu wa wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Iv vitu vya kiutawala na siasa kuiga ni jambo zuri punde ukiona mwenzako anafanya vizuri ku copy ni jambo jema nafikiri ata tz tuige mfumo wa huduma nmba .... Tena sisi hatut a ila tuta add tu informtion ktk zile ntionl Id zetu ambazo ni Biological registration system
 
Ok, assuming you're right, kwani hizo za kenya zilianza mwaka gani ukicompe na za bongo. Which are the latest ones, because you assume the latest ones copied from the earliest ones in kenya, si ndio.
Haya ambia sisi ipi ilianza..
Otherwise nenda kanye.
Hasira za nini bana, mbona una stress hivi? Hivyo vipindi vilianza Kenya zamani na waliiga baada ya kuviona kwenye Tv za Kenya. Eti Bull's Eye ya NTV Clouds wakaigeuza ikawa Jicho la Ng'ombe. [emoji38]
Kenya imeiga yafuatayo
1) Nyumba kumi
2)Kutafuta ghost workers serikali ni
3)BRT
4)Electric train
5)Mapambano ya rushwa
6)Kupunguza marupurupu wa wanasiasa
Jina lenyewe BRT halihitaji genius kujua kwamba chimbuko lake ni Tz. 😀 Hayo mengine yote yalipangwa zamani sana kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010. Alafu niulize, nauli ya safari za treni za SGR Tz ni shilingi ngapi?
 
Haya ndugu mwenye huduma namba !!! By the tuna angalia citizen tv tu sababu kuna damu za watz pale ...... Binti
Ndugu
Hebu fafanua kuhusu hiyo damu ya Tz ambayo ipo Citizen Tv. Maanake naona ni kama unawafananisha wanahabari wa Kenya na hao wenu ambao huwa wanajikunyata, wakati wanasoma habari, utadhani wamenyeshewa kisha wakazabwa makofi.
 
Hasira za nini bana, mbona una stress hivi? Hivyo vipindi vilianza Kenya zamani na waliiga baada ya kuviona kwenye Tv za Kenya. Eti Bull's Eye ya NTV Clouds wakaigeuza ikawa Jicho la Ng'ombe. [emoji38] Jina lenyewe BRT halihitaji genius kujua kwamba chimbuko lake ni Tz. 😀 Hayo mengine yote yalipangwa zamani sana kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010. Alafu niulize, nauli ya safari za treni za SGR Tz ni shilingi ngapi?
Hahahahaha, failed state ninyi, kila kitu kilipangwa zamani, lakini ukabila, njaa, rushwa, slums, unemployment, insecurity vimewashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Tanzania tunapenda kuziangalia vipindi stesheni za failed state kwa kuwa zina content nzuri ya kupendeza afu wanajielewa tena wana uhuru wa kutangaza chochote. Hapa bongo kama sio fisiiem basi itafungwa.
Tunazipenda sana K24,KBC,CITIZEN TV na KTN.
 
Hasira za nini bana, mbona una stress hivi? Hivyo vipindi vilianza Kenya zamani na waliiga baada ya kuviona kwenye Tv za Kenya. Eti Bull's Eye ya NTV Clouds wakaigeuza ikawa Jicho la Ng'ombe. [emoji38] Jina lenyewe BRT halihitaji genius kujua kwamba chimbuko lake ni Tz. 😀 Hayo mengine yote yalipangwa zamani sana kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010. Alafu niulize, nauli ya safari za treni za SGR Tz ni shilingi ngapi?
Nauli ya SGR kutoka nairobi kwenda kampala ni shilingi ngapi? 😁😁😁
 
Hapa Tanzania tunapenda kuziangalia vipindi stesheni za failed state kwa kuwa zina content nzuri ya kupendeza afu wanajielewa tena wana uhuru wa kutangaza chochote. Hapa bongo kama sio fisiiem basi itafungwa.
Tunazipenda sana K24,KBC,CITIZEN TV na KTN.
Hahahahaha, failed state ninyi, kila kitu kipo kwenye makaratasi, ila kwenye reality ni hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom