Kenya: Madaktari kutoka Cuba watekwa nyara

Kenya: Madaktari kutoka Cuba watekwa nyara

Mungu ataisaidia watafuzu kurejesha aman .....
Serikali ya Kenya iangaliwe nini cha kufanya wale magaid wa Somali wapotezwe kwenye Ramani ya Angalau iwekwe system ya kuwatrace mpakani wasomali wasio Wakenya ili wasiingie Kenya. Mkiwakata msiwapeleke kwenye vyombo vya sheria kifo kiwahusu kwa bunduki kumpeleka gaidi mahakani ni kupoteza mda Kwa Tanzania ni kifo au jela kifungo cha maisha watu waoga kufanya ujinga. Amani lazima strategies zuwekwe vizuri . Ukiiangali hata kwetu upanda wa west kuna Burundi na Kongo na Rwanda . Waasi wamesumbua hizo nchi mpaka basi Ila kwenye ardhi ya Tz hawakanyagi. Ukishuka msumbiji south of Tanzania kuna waislam wengi ni ugaidi wa miaka nenda Rudi Ila hawakanyagi ardhi ya Tanzania wanasumbua msumbiji tuu. Mzee Jomo Kenyetta alikuwa failure alijilimbikiza Mali nyingi akashindwa kuunganisha wakenya. Tz nchi yenye makabila 125 Mengi kuliko Kenya Nyerere aliwaunite na kunutralize ukabila pamoja na udini . Nyerere aliichukua Zanzibar ambayo mpaka sasa kuna waarabu wenye asili ya Oman wengi tuu. waislam Tanzania ni almost 35% ya population . Alijitahidi kuunite watanzania kuwa kitu kimoja chakushangaza Kenya Tayari 10% ya waislam tuu. Odinga aliwapitishia mahakama ya kadhi ili apate kura za Urais pasipo kuangalia negative impacts. Wakati Tz hakuna hizo mahakamani za kadhi. Kuna mambo Mengine viongozi are responsible for destruction of Kenya. Kenya ilitakiwa iwe more economical stable but kama ulivyosema kule North ni majanga kila siku. Kenya inastahili kubadilisha katiba ya uRaia, ulinzi wa nchi na sio kubadilisha katiba ili iwape favour kisiasa Akina Odinga , Kenyatta, Rutto. Economically already stable but no peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujulikana zaidi hapa Africa, kill each other, hiyo ndio sababu kuu ya kujulikana kwa Mandera na miji mingi ndani ya Somalia, hakuna sababu yoyote ya dunia kuijua Iringa, Mbeya, Morogoro au Mpanda.

Ukiniambia nikutajie mikoa miwili ya BewZeland, Austria, Luxernburg, au Iceland nitashindwa, lakini ninaweza kukutajia majimbo matano ya Afghanistan au Syria, nadhani umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kw povu hilp...mbna albino wanauliwa tanzania lkn ukimuuliza mkenya akutajie anga mkoa unaongoza kw hayo maafa...wengi watakwambia hawajui...kubalini tu mnapenda kuingalia news za kenya
 
Akili zenu na panzi hakuna tofauti tatizo njaa ina wasumbua uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mmeshindwa kupambana na makazi ya vibanda je mambo makubwa mtaweza kweli
we tena hapo kw makaazi usipataje...wenzako hapa ndani wamekimbia...hapa nikikwambia ulete makaazi ya kipato cha kati na majina yake tuende google earth utakimbia...ama uanze kulete vipicha vya magorofa
 
Hasira za nini bana, mbona una stress hivi? Hivyo vipindi vilianza Kenya zamani na waliiga baada ya kuviona kwenye Tv za Kenya. Eti Bull's Eye ya NTV Clouds wakaigeuza ikawa Jicho la Ng'ombe. [emoji38] Jina lenyewe BRT halihitaji genius kujua kwamba chimbuko lake ni Tz. 😀 Hayo mengine yote yalipangwa zamani sana kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010. Alafu niulize, nauli ya safari za treni za SGR Tz ni shilingi ngapi?
BRT yenyewe mabasi ni mabovu sai...jf wenzao wanapiga kelele kinoma
 
BRT yenyewe mabasi ni mabovu sai...jf wenzao wanapiga kelele kinoma
Kwenye domo domo hakuna anayewaweza hawa majirani. Mbaya kabisa ni kwamba wanaishi kwenye mfumo wa utawala wa kidekteta kwa sasa kwahivyo waelewe tu. Wanahabari wao wanajua tu tune ya sisiemu mbele kwa mbele. Kuna uzi nimeona wanatupilia mbali hadi takwimu za IMF, kisa injili potofu ya Jiwe eti ndio itawafikisha Canaan.
 
Kwenye domo domo hakuna anayewaweza hawa majirani. Mbaya kabisa ni kwamba wanaishi kwenye mfumo wa utawala wa kidekteta kwa sasa kwahivyo waelewe tu. Wanahabari wao wanajua tu tune ya sisiemu mbele kwa mbele. Kuna uzi nimeona wanatupilia mbali hadi takwimu za IMF, kisa injili potofu ya Jiwe eti ndio itawafikisha Canaan.
Hahahahaha, bure kabisa failed state, kila kitu kwenu ni kujisifia wakati, rushwa, ukabila, njaa, unemployment, slums, insecurity vimewashinda, hata kuwapa ulinzi wageni mliowaomba kuwasaidia hao Doctors kutoka Cuba hamuwezi, nchi gani hiyo ambayo huna uhakika kama utafika Kesho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukabila-jaribuni kuivamia kenya mitandaoni hapo ndio utajua huo ujinga ni wa nyumbani ila mgeni atapondwa hadi atachakazwa...
unemployment-africa mashariki ni nchi gani watu ndio wanapenda kujituma hasa katika biashara...au nchi gani ea inaifikia kenya katika biashara
njaa-ni nchi gani ea ina maskini wengi
slums-ni nchi gani ea ina middle class wengi
insecurity-hii yani nilicheka sana....billionaire tu katekwa ..tanzania ccm tu ndio wako salama..ila wapinzani ukibugi anytime unatekwa...hata wasanii na wanahabari hawajasazwa..ukianza kuzingua unatekwa
 
joto la jiwe harakisha kwa huu uzi wa UDART kucheza kwa hasara tangu 2016 😀😀
Leo nalala kama nimevalia viatu
 
How does all this dumb ideas take root in a person's brain? Alot of ignorant opinions around here.
 
'Kuishi na msomali afadhali ya kuishi na cobra ndani'Wasomali hata mimi sijui kwanini huwa sina Imani nao hata kidogo...

Somali kabila au Somali taifa? Somalia is a failed State tangu General Siad Barre aachie madaraka, wote ni taifa moja, kabila moja, dini moja(Islam), dhehebu moja(Sunni) lakini wanauana wenyewe kwa wenyewe, ukoo kwa ukoo na homestead na homestead(nyumba kwa nyumba) nahisi ni LAAANA!
 
Wameshindwa mziki wa vijana wa kisomali wenye miaka 18 sasa wameamua kuwateka wao ili Cuba iingie kati kwenye ugomvi usiowahusu
Hizi mbinu za kizamani sana na sasa zilipendwa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwaiyo itakuwa ni game plan ya Kenya ili Cuba aingilie huu mtanange?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom