DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Serikali ya Kenya iangaliwe nini cha kufanya wale magaid wa Somali wapotezwe kwenye Ramani ya Angalau iwekwe system ya kuwatrace mpakani wasomali wasio Wakenya ili wasiingie Kenya. Mkiwakata msiwapeleke kwenye vyombo vya sheria kifo kiwahusu kwa bunduki kumpeleka gaidi mahakani ni kupoteza mda Kwa Tanzania ni kifo au jela kifungo cha maisha watu waoga kufanya ujinga. Amani lazima strategies zuwekwe vizuri . Ukiiangali hata kwetu upanda wa west kuna Burundi na Kongo na Rwanda . Waasi wamesumbua hizo nchi mpaka basi Ila kwenye ardhi ya Tz hawakanyagi. Ukishuka msumbiji south of Tanzania kuna waislam wengi ni ugaidi wa miaka nenda Rudi Ila hawakanyagi ardhi ya Tanzania wanasumbua msumbiji tuu. Mzee Jomo Kenyetta alikuwa failure alijilimbikiza Mali nyingi akashindwa kuunganisha wakenya. Tz nchi yenye makabila 125 Mengi kuliko Kenya Nyerere aliwaunite na kunutralize ukabila pamoja na udini . Nyerere aliichukua Zanzibar ambayo mpaka sasa kuna waarabu wenye asili ya Oman wengi tuu. waislam Tanzania ni almost 35% ya population . Alijitahidi kuunite watanzania kuwa kitu kimoja chakushangaza Kenya Tayari 10% ya waislam tuu. Odinga aliwapitishia mahakama ya kadhi ili apate kura za Urais pasipo kuangalia negative impacts. Wakati Tz hakuna hizo mahakamani za kadhi. Kuna mambo Mengine viongozi are responsible for destruction of Kenya. Kenya ilitakiwa iwe more economical stable but kama ulivyosema kule North ni majanga kila siku. Kenya inastahili kubadilisha katiba ya uRaia, ulinzi wa nchi na sio kubadilisha katiba ili iwape favour kisiasa Akina Odinga , Kenyatta, Rutto. Economically already stable but no peaceMungu ataisaidia watafuzu kurejesha aman .....
Sent using Jamii Forums mobile app