KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)


CHADEMA WAMESHINDWA KENYA. LOWASSA ATOE TAMKO KAMA ATATII MAAMUZI YA MAHAKAMA. MWENYEKITI WA CHADEMA ATOE MSIMAMO WA CHADEMA, NAYE AKIRI KUHESHIMU UAMUZI WA MAHAKAMA.
 
Sema tu kwamba na wewe nyumbu unaona aibu kwa jinsi mgombea wenu alivyopokonywa ushindi. Mlimkosoa hapa na kumdhihaki Raila Odinga na kumwandika vibaya Leo yamewakuta mnaona aibu.
 
unazungumza na wanasheria wenye njaa wenzao wanachomewa vitendea kazi wao wanafurahi
 

Mahakama imeufuta uchaguzi wa kenya kwa kua ulikua na dosari kubwa muda mfupi uliopita naamini kuna la kujifunza kwa hawa jirani zetu haswa serkali na mahakama zetu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatakiwa tuwe na mahakama huru, majaji wote wasiwe wa kuteuliwa na rais, na uchaguzi uwe unaweza pelekwa mahakamani kama Kenya ka pingizi lolote.
Tujifunze kitu hapa ila tunaanzia wapi??
 
Baba wa demokrasia kumbe ni baba wa computer..computerized president,Kenya congrats kwa hili...
 
Elimu tosha hiyo kwa nchi huru kikatiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…