KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Hivi punde,Mahakama ya Juu ya Kenya imeridhika na hoja za Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) kuwa uchaguzi haukufuata Katiba na sheria na ulikuwa na kasoro. Ni uamuzi wa Majaji wengi.

Kuna mjinga mmoja alibabaishwa na kiingereza cha Lumumba akasema hoja zote za NASA zimemalizwa. Sijui atajisikiaje kwa uamuzi huu. Lakini tuwe wakweli, kwa Afrika nzima hakuna nchi yenye demokrasia kama Kenya kwa sasa. Na ninaamini wataendelea sana kiuchumi pia kutokana na kuwa so democratic. Hongereni sana majirani zetu. Ngoja sisi tuendelee kupambana na hali yetu.
 
Sema tu kwamba na wewe nyumbu unaona aibu kwa jinsi mgombea wenu alivyopokonywa ushindi. Mlimkosoa hapa na kumdhihaki Raila Odinga na kumwandika vibaya Leo yamewakuta mnaona aibu.

Acha upumbavu wa Ma Inzi ya Kijani

Tanzania ipatiwe Katiba Mpya ya Warioba

Mahakama Huru

Tume Huru

Ruhusu mikutano...

Mwambie bwana ako hivo
 
Aliposhinda Uhuru oh wenzetu wapo juu. Na sasa mahakama imetengua ushindi huo oh wenzetu wako juu. Upuuzi mtupu.
Wewe ndiye mpuuzi...una reference yangu kusema huo upuuzi aliposhinda uhuru?

Sent from my TV
 
Nasema CHADEMA ni aibu na wanatetea wezi kwa kiwango hiki. Tunawambia kila siku, chama kisiendeshwe na mtu ila sera za pamoja na zinazojisema zenyewe.

Mfumo huu wa CHADEMA wa kutetea hata uovu iwe fundisho.

Mwenyekiti aamuke na kuendesha chama kama taasisi na si matamko ya watu au fikra zao.
 
Utakuwa na kichaa wewe kwani ni uongo mauaji ya kibiki yalikuwa hayatokei ?!! Kwa ushauri wako ulitaka waandike vipi suala la kibiti!


Vichwa maji kama nyie ndio mmelifikisha taifa hili hapa tulipo.. Watu mmejaa unafiki mpaka Mungu anawaogopa

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Kenya to elect president in two month from now after the supreme court decision to nulified the presidential election as results were found to be invalid. A VERY GOOD LESSON FOR TANZANIA AND AFRIKA IN GENERAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source of information?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…