varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,726
- 1,628
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza hili swali sipati jibu. Kwa nini CDM wanamsupport Uhuru? Ukweli ni kuwa waKenya wamemchoka hadi aliwatisha kuwa watakoma akichaguliwa. Kwenye campaign akisema harambeee, wakawa wanaitikia NASAAAAA!!! Akawatolea uvivu. Sasa iweje ashinde!!1.Nasema CHADEMA ni aibu na wanatetea wezi kwa kiwango hiki. Tunawambia kila siku, chama kisiendeshwe na mtu ila sera za pamoja na zinazojisema zenyewe.
Mfumo huu wa CHADEMA wa kutetea hata uovu iwe fundisho.
Mwenyekiti aamuke na kuendesha chama kama taasisi na si matamko ya watu au fikra zao.
Uhuru, alitumia vijana wa IT, according to Raila'
Kenya iko mbele mno ! Nina hakika Raila atashindwa tenaKwa vile leo ni mapumziko na niliowataja wako majumbani sasa hivi basi sio vibaya wakafungulia Luninga zao na kuona Supreme court ya Kenya inafanyaje maamuzi yake kwa uwazi na bila woga kwa kesi ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo.
Nimefurahishwa sana na uwazi mkubwa unafanywa na mahakama hiyo ya Kenya na ni wazi tunalo la kujifunza kutoka kwao
UPDATE
Mahakama imempa ushindi mwombaji yaani Odinga hivyo uchaguzi umeonekana ulikuwa na kasoro na utarudiwa ndani ya siku sitini.
Nchi za Afrika zijifunze hasa Tanzania
Maalim Seif, usife moyo. Haya yatafika tu Tanzania. Mungu yupo.
Si mlikuwa mnashabikia ushindi wa Kenyata?Naipenda Kenya kwakweli
Sheria inachukua mkondo wake
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Chances are very slim, to be honest!!
- Hivi wakirudia atashinda Tena???