KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

ni kichaa tu kama wewe ambae hataona umuhimu wa kuwa na vyombo huru katika mihimili ya serikali. Huko Tanzania Majaji wanamuona magufuli kama mungu
ndio umeandika nini hapa sijakuelewa na sihitaji kukuelewa!
 
tatizo sio katiba,tatizo ni majaji,plain and simple,

jaji anapofanya kazi huko anahofia nikifukuzwa kazi wanangu watakula nini,jaji huyo hawezi kutenda haki,
daima atapokea maagizo kutoka juu
Hilo ndo tatizo la kikatiba sasa....kati a ingekua imeweka utaratibu mgumu kama chuma wa kumfukuza jaji kazi wangekua na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila hofu ya kupoteza ajira....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahah, sasa hivi wanajifanya kusifia mhimili wa mahakama, hahahahahahahahahahah
 
Hapa tunarudi ktk swali la Dr. Wilbroad Slaa:
Is Lowassa an asset or a liability to chadema??
Mtamuelewa tu huyu mzee mwenye akili nyingi!!
 
Hapa ndio utaona akili kubwa ya ndugu zetu Wakenya. Natamani siku moja katiba yetu iwe kama ya hawa jamaa ili tuheshimiane.
 
Umuhimu wa katiba iliyoboreshwa ndo umeonekana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu mnachishabikia kinaangukia pua!

Lowassa sijui ananisikiaje wakati huu!

Hivi inajisikiaje wewe mpinzani kushabikia chama tawala amabcho mahakama inasema kabisa kilibaka uchaguzi.

......

Wapi mahakama imesema chama tawala kilifanya makosa? wasimamizi wa uchaguzi ni tume huru ya kenya yenyewe ina mamlaka kamili kama ilivo mahakama-tofautisha katiba ya kenya na huu uoza wa hapa kwetu!!
 
Leo wamebaki kujihami. Ukiwakumbusha walivyomshangilia mwizi wa kura Kenyata wanakuwa wakali hao kama mbogo.
 
Why In the Bible there is

First: Book of Joshua
Second: Book of Judges
Third: Book of Kings ?
 
Umuhimu wa katiba iliyoboreshwa ndo umeonekana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…