KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

ni kichaa tu kama wewe ambae hataona umuhimu wa kuwa na vyombo huru katika mihimili ya serikali. Huko Tanzania Majaji wanamuona magufuli kama mungu
ndio umeandika nini hapa sijakuelewa na sihitaji kukuelewa!
 
tatizo sio katiba,tatizo ni majaji,plain and simple,

jaji anapofanya kazi huko anahofia nikifukuzwa kazi wanangu watakula nini,jaji huyo hawezi kutenda haki,
daima atapokea maagizo kutoka juu
Hilo ndo tatizo la kikatiba sasa....kati a ingekua imeweka utaratibu mgumu kama chuma wa kumfukuza jaji kazi wangekua na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila hofu ya kupoteza ajira....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahah, sasa hivi wanajifanya kusifia mhimili wa mahakama, hahahahahahahahahahah
 
Hapa tunarudi ktk swali la Dr. Wilbroad Slaa:
Is Lowassa an asset or a liability to chadema??
Mtamuelewa tu huyu mzee mwenye akili nyingi!!
 
Hapa ndio utaona akili kubwa ya ndugu zetu Wakenya. Natamani siku moja katiba yetu iwe kama ya hawa jamaa ili tuheshimiane.
 
Kwahiyo Odinga ameshinda hoja yake kuwa mfumo wa computer za tume ulipigwa changa la macho na hacker's...?? Wajua naona kama naota vile,

Aisee Kenya mahakama zao ziko more advanced kuliko zote EAC. The court ruling imeonekana ikitendeka. Kaimu jaji umeona wenzako wanavyosimamia professionalism??

Natamani na mahakama za bongo zifanye reform ya mfumo wake, aisee Fundi Lissu na TLS mna cha kujifunza kutoka Kenya.

Jecha na Maalimu seif mmeona wenzenu??

NB: ulinzi kwa chief jaji uimarishwe Mara dufu maana kafanya maamuzi magumu kwa niaba ya Uhuru wa demokrasia , wasije waka "msando " bure jaji huyo kama yule mkuu wa IT wa tume ya Kenya.
Umuhimu wa katiba iliyoboreshwa ndo umeonekana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu mnachishabikia kinaangukia pua!

Lowassa sijui ananisikiaje wakati huu!

Hivi inajisikiaje wewe mpinzani kushabikia chama tawala amabcho mahakama inasema kabisa kilibaka uchaguzi.

......

Wapi mahakama imesema chama tawala kilifanya makosa? wasimamizi wa uchaguzi ni tume huru ya kenya yenyewe ina mamlaka kamili kama ilivo mahakama-tofautisha katiba ya kenya na huu uoza wa hapa kwetu!!
 
CHADEMA ilijipambanua wazi kuungana na mwizi Uhuru kwa keti dhaifu sana ya kumkomoa Raila.

Wengi walisema, imekosea. Imekosea kwa sababu wao ni wapinzani na si watawala.

Nasema CHADEMA ni aibu na wanatetea wezi kwa kiwango hiki. Tunawambia kila siku, chama kisiendeshwe na mtu ila sera za pamoja na zinazojisema zenyewe. Kitendo cha Lowassa kutaka kutumia chama kujitukuza matokeo yake ni kukosa mwelekeo.

Lowassa anatafuta utukufu wake binafsi na sasa matokeo yake tunaona.

Mfumo huu wa CHADEMA wa kutetea hata uovu iwe fundisho.

Mwenyekiti aamuke na kuendesha chama kama taasisi na si matamko ya watu au fikra zao.
Leo wamebaki kujihami. Ukiwakumbusha walivyomshangilia mwizi wa kura Kenyata wanakuwa wakali hao kama mbogo.
 
Why In the Bible there is

First: Book of Joshua
Second: Book of Judges
Third: Book of Kings ?
 
Back
Top Bottom