CCM hoyeeeeendio umeandika nini hapa sijakuelewa na sihitaji kukuelewa!
Mkuu chadema wanatia huruma
......
Mcha Mungu yule safi sana.Maraga is a brave person.
Mkuu nafikiri uwepo mahakama huru, tume huru ya uchaguzi, katiba sahihi.. Sidhani kama hawa wapinzani wa Tanzania wataendelea kuandamana..
wameona unafanana na huu wakauunganishaMods,kwanini hoja yangu tu imehamishwa jukwaa?
Exactly mkuu inaonekana PhD za siku hizi nyingi ni fakeHana tofauti na yule wetu Prof. Lipumbavu
[emoji23] sasa kwa mujibu wa nani?Kenyatta ni rais halali wa wakenya odinga atulie tu