KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Mkuu chadema wanatia huruma

......

kwa hiyo ccm walikuwa upande wa odinga? ile tweet magufuli aliyompongeza uhuru ilikuwa ya kinafiki lowasa alienda kwa uhuru hakikwenda kama chama hivi sisi katuroga nani kila kitu ni siasa za maji taka? nilitegemea vijana muje na fact kwamba wanasheria na mahakama zetu zisikilize pia mapingamiz ya upinzani kila chaguzi ni vilio tu sasa wewe uchaguz wa kenya unawaza chadema kuna tatizo mahali hata huo uchaguzi wa kenya hauna conection yoyote na uchadema wala uccm sijaona majaji wa kenya wakiongelea hayo kwamba tunafuta chadema kimeingilia uchaguzi badilikeni kwa afya ya taifa tunazidiwa uwezo wa kifikra na wa kenya kwa haya mambo ya hovyo lowasa anampenda uhuru tosha sio chadema kama chama.
 
Wakenya wapo juu sana no matter mzee wa jugelo kenya bwana obama akawatawala wamarekani

Viva kenya kwa uwazi
 
Hakika Mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], nilisema wazi kuwa Raila , ameshinda ila hatatangazwa humu Jukwaani walitaka kunikaanga kwenye mafuta ya kula yaliyochemshwa!!

Sasa , nilichosema kimewekwa wazi leo na bado Chris Msando (RIP) damu yake imemwangwa bila hatia inauma sana.

Kila la Heri kwako. Raila Amoro Odinga (RAO) na NASA ushindi lazima upatikane sasa.
 
Mahakama kule Gambia ilipotengua ushindi Wa kiongozi wa upinzani dunia mzima ili laani..

Mfano Odinga angeshinda na mahakama ikasema ushindi batili, Mungu pekee ndio anajua kitakacho tokea
 
Mkuu nafikiri uwepo mahakama huru, tume huru ya uchaguzi, katiba sahihi.. Sidhani kama hawa wapinzani wa Tanzania wataendelea kuandamana..


Tatizo hawana akili hiyo bado wataandamana.

Maana, hata kipindi cha JK nchi kisiasa walikuwa wapo na nafasi ya kufanya siasa ya kujiimalisha ila wao wakawa watu wa maandamano kila siku.

M/kiti wa CDM kasema ataanza maandamano na mikutano kwenye jimbo lake lote. Anarudi mambo Yale Yale yasiyokuwa na tija.


Tanzania, wanahitaji akili ya ziada kufanya siasa na siyo maandamano.
 
Duuu bora hiyo jaji kama atabaki salama bila kukatwa mkono na kuuawa.
 
ungekuwa Tz sijui huyo alietoa hio amri ya uchaguzi kurudiwa angekuwa wapi sasa hivi
 
Ina wezekana Tanzania ikajifunza kukwepa kuwa na tume huru... hivyo tuelewe kujifunza kupo kwa aina nyingi...

labda tutoe mapendekezo kwa ajiri ya kurekebisha sheria zetu ikiwemo kuhoji ushindi wa rais mahakamani kama ilivyo kwa ushindi wa wabunge unavyo fanyika ktk majimbo mbali mbali na mahakama kutoa maamuzi

sasa hapa mahakama imetoa maamuzi yaliyo wafurahisha wengi kutokana na kasoro zilizo jitokeza endapo kusingekuwa na kasoro na mahakama kusema Uhuru ameshinda kihalali tungesema mahakama hazpo huru

hiki kilicho tendeka kenya kina onekana ni cha ajabu kwa kuwa kimetendeka ktk levo ya Rais na huku kwetu Rais akitangazwa ametangazwa lakini ktk levo ya ubunge huwa matokeo yana pingwa na maamuzi mengi yametoka huko...

muhimu hapa labda kurekebish sheria zetu ili tuendane na wakati na hali halisi na sio kuona chaguzi zetu hazipo huru mpaka tuwe na tume huru

hili sio kweli la kuwa na tume huru kuna kuwa na maamuzi huru... ni uwajibikaji/uweledi wa watendaji ktk kusimamia sheria
 
Gharama za mdudu demokrasia ni kubwa sana, zingine zimepoa na zingine zina moto mkali sana ...zingine zinaponya na zingine ni mauti
 
Hapo supreme court ingetoa pendekezo kwa tume huru ya uchaguzi ya kenya kuvunjwa na kuundwa mpya kabla ya fresh elections.
 
Back
Top Bottom