Ndo unaamka?Wakuu habari za hivi punde kutoka BBC World news zinasema Mahakama kuu nchini Kenya imefutilia Mbali matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Uhuru Kenyata.
#stay_up-to-date
Chanzo BBC
From Sir Korojani
kumbuka ni tume huru.... labda kama kuna sheria itakayo fanya hivyo kupelekea kuvunjwa kwakeHapo supreme court ingetoa pendekezo kwa tume huru ya uchaguzi ya kenya kuvunjwa na kuundwa mpya kabla ya fresh elections.
Wametaja sababu za kuufuta kuwa haukuwa wa haki hivyo utarudiwa baada ya siku 60 toka leo. Kwa mara ya kwanza hili linatokea katika aridhi ya afrika ni dhahiri kuwa democrasia inaanza kukua katika Kenya na Afrika kwa ujumla.mkuu mngeweka na sababu za kufutwa maana kila mtu anaweka update kama hii tu juu juu tu
Mku uchaguzi unaokuja ndo ukombozi zaidi kwa Wakenya yaani maskini wapige kura kwa wingi ili mshindi apatikane ili aipeleke nchi mbele zaidi
Wale Wazee wa Africa waliosema "Uchaguzi ulikua huru na haki kasoro matatizo machache" tuendelee kuwaamini!??Wametaja sababu za kuufuta kuwa haukuwa wa haki hivyo utarudiwa baada ya siku 60 toka leo. Kwa mara ya kwanza hili linatokea katika aridhi ya afrika ni dhahiri kuwa democrasia inaanza kukua katika Kenya na Afrika kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app