KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Habari wanajamvi....

Hukumu ya kupinga matokeo ya Urais Kenya inatolewa now Look azam two.....

Majaji wanatolea maelezo hoja za pande zinazohusika katika kesi...

Kenya wameonesha demokrasia kubwa sanaaaaaaaaa,Big up Kenya....

Huku kwetu kupinga tu ya Ubunge n kizungu Mkuti......
Ndo process za kidemokrasia.
Natumaini tu Chadema na Lowassa hawata badili msimamo wao tena baada ya hukumu hii.
 
Mie nawaahauri wahesabu kura manually tu,hata kama kuna vituo laki moja,kila kituo kihesabiwe na nakala wapaki nazo observers....Hii itaondoa Utata, kisha hesabu kuanzia ngazi ya kituo kata tarafa hadi Jimbo kisha mkoa....Then wanajumlisha kwa mikoa wise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya uchaguzi kurudiwa baada ya siku 60 uamuzi umetolewa na mahakama ya juu chini ya majaji 6 wa mahakama kuu kenya kati ya sita wa nne wameamuru uchaguzi urudiwe wawili wamesema uchaguzi ulikuwa auna dosari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Odinga ameshinda homa yake kuwa mfumo wa computer za tume ulipigwa changa la macho na hacker's...?? Aisee Kenya mahakama zao ziko more advanced kuliko zote EAC

Majaji wanaomba kazi kwa kupeleka CV na wanapitia mchujo mkali sana, ni tofauti na uku kwetu.
Uku kwetu wanachaguana tu.
 
Back
Top Bottom