KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Huku akina Paschal Mayalla wanasema siyo vizuri kupiga hata picha watuhumiwa wakiwa mahakamani wakati hata kesi zakina Bosco Ntaganda na akina Uhuru kule kwenye korti ya ulimwengu zinaonyesha kwenye TV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya's Supreme Court orders rerun of disputed presidential election
Updated 0859 GMT (1659 HKT) September 1, 2017

(CNN)Kenya's Supreme Court has ordered a rerun of the country's contentious presidential election, after a legal challenge by the opposition.

President Uhuru Kenyatta was declared the victor of last month's election, but opposition leader Raila Odinga claimed the vote was fraudulent.
"The presidential election was not conducted in accordance with constitution, rendering the declared results invalid null and void," Chief Justice David Maraga said, ordering fresh elections within 60 days.
Developing story - more to come
 
Chief Justice David Maraga, however, stated that what they read was a 'determination of the court and not a ruling'.
naona wachangiaji wengi humu hawajaielewa hii chorus, ngoja nikatupie pilao na juisi ya idi kwanza, nitarudi baadae
 
Wadau shaloom
SUPREME COURT imetengua uchaguzi wa Kenya na kuamuru urudiwe ndani ya siku 60
Kila chama kibebe gharama za uchavuzi.
Hii inaonyesha jinsi Katiba inavyo heshimiwa. Sio wenzetu kuzuia hata mikutano ya hadhara ambayo iko kikatiba na vyombo vya kutoa haki vimekaa kimya. Jongera Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepongeza sana uhuru wa Mahakama nchini Kenya.
 
back to the ballots, this is lesson to our country. Hawa ma judge wameonyesha ukakamavu
 
Aisee, mahakama za Kenya zikl na Uhuru wa kimahakama wa kiwango cha ulaya, hongereni sana.
 
Dakika chache zilizopita mahakama ya Nchini Kenya imefuta uchaguzi wa Rais uliofanyika siku chache zilizopita na kuamuru urudiwe baada ya siku 60.

Ikumbukwe uchaguzi huo ulikua umempa Uhusu kinyatta ushindi lakini hata hivyo mahakama kuu ya nchi hiyo imejiridhisha kwamba haukuwa huru na wa haki hivyo kuamriwa urudiwe.

Hapo nafikiri tunalo la kujifunza ikiwemo kubadili katiba yetu ili matokeo ya uchaguzi wa Rais yawe yanahojiwa mahakamani kama ya Ubunge .
1504257021567.png


"Never stop learning because life never stop teaching"
 
Umofia kwenu wadau,

Nafikiria tu, iwapo wapinzani wangekuwa wamemuunga mkono Raila, yaani ushindi huu ungewapa sababu kubwa sana ya kushangilia.

Ila kwa sasa wanalia na wanahudhuni
Walio manipulate results wanachukuliwa hatua yoyote??
Tatizo yule jamaa wa Tz alishatia nuksi na vijana wake wa IT kule! Huku walipigwa chini na kumbukumbu zinaonyesha baadhi ya hao vijana walikuwa imported kutoka Kenya.
 
Umofia kwenu wadau,

Nafikiria tu, iwapo wapinzani wangekuwa wamemuunga mkono Raila, yaani ushindi huu ungewapa sababu kubwa sana ya kushangilia.

Ila kwa sasa wanalia na wanahudhuni
Hawaamini macho na masikio yao.
 
Wadau shaloom
SUPREME COURT imetengua uchaguzi wa Kenya na kuamuru urudiwe ndani ya siku 60
Kila chama kibebe gharama za uchavuzi.
Hii inaonyesha jinsi Katiba inavyo heshimiwa. Sio wenzetu kuzuia hata mikutano ya hadhara ambayo iko kikatiba na vyombo vya kutoa haki vimekaa kimya. Jongera Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom