KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Wenzetu wako mbali maana kitendo tuu cha kukubali uchaguzi wa Rais uweze kujadiliwa mahakamani inaonyesha ni jinsi gani utawala wa sheria unafuatwa .

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
Kuna wale viongozi na wasimamizi kutoka nje walisema uchaguzi ulikua haki na huru je watasemaje tena?!
 
The Supreme Court has nullified President Uhuru Kenyatta's win. - The final verdict was announced on Friday, August 31, by the six judges. - The Supreme Court found that the Independent Electoral and Boundaries Commission carried out an election marred with illegalities.

commred Chichimizi
 
Naona Raila akishindwa tena maana kura zilizopigwa kwenye vituo hakuna hata kituo kimoja matokeo yake yanayokataliwa ishu ni transmission ya matokeo tu...
 
Kwahiyo yule jamaa mwenye nywele nyeupe aliyesafiri toka Tanzania kwenda kumsupport kenyatta itabidi aandae nauli nyingine?
 
Hapo ...kila upande ubebe gharama zake.....
Ina maana vile vyama vidogo vidogo shughuli ipo...
 
Walio manipulate results wanachukuliwa hatua yoyote??
Tatizo yule jamaa wa Tz alishatia nuksi na vijana wake wa IT kule! Huku walipigwa chini na kumbukumbu zinaonyesha baadhi ya hao vijana walikuwa imported kutoka Kenya.
 
EL... na Chadema na Wale wasimamizi au waangalizi wakina Mbeki sijui nani kwahiyo walikuwa wanafiki kusema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki...

dunia hii ina bidi upambane na hali yako...
 
EL... na Chadema na Wale wasimamizi au waangalizi wakina Mbeki sijui nani kwahiyo walikuwa wanafiki kusema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki...

dunia hii ina bidi upambane na hali yako...
 
Naipenda Kenya kwakweli

Sheria inachukua mkondo wake

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Watanzania tunaona hili kama miujiza isiyoweza kutendeka ndani ya mipaka yetu.
 
Back
Top Bottom