Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Nimekuwa nalituhumu Gazeti la Mwananchi na Kampuni ya Nation Media Group unayotaka Magazeti ya The Citizen na The East African jinsi yanavyoandika ovyo taarifa zinazohusu Tanzania hasa Serikali hata kama jambo ni la kawaida wanalifanya kama ni baya kutokea.
Waliandika karibia kila siku kwenye front pages taarifa za mauaji ya Kibiti na kutoa makala mbili juu ya mauaji hayo. Hata hivyo, Wakenya wamekuwa wakiuuawaila kwenye uchaguzi, wanatuficha taarifa huru wanaandika zilizotolewa na mamlaka lakini hakuna sehemu wameandika taarifa ya uchunguzi juu ya mauaji hayo.
Hata kifo cha Msando wa IEBC hawakukipa nafasi muhimu kwenye taarifa zao licha ya kilo hicho kuonekana wazi kimetendwa na Serikali.
Sasa nasubiri kuona watakavyoandika taarifa za uchaguzi kurudiwa ndio wao be Ainu kwa madudu yote waliyoandika dhidi ya Odinga.