Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kenya kwa miaka mingi ilitawala katika "manufacturing sector " katika ukandaa huu, jambo KILIMO sababu sawa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Wazungu hata kabla ya Uhuru.

Wakati Tanzania na Uganda zikifanywa kama mashamba ya kuzalisha Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vya waingereza vilivyojengwa Kenya. Baada ya Uhuru, jitihada za Tanzania kujenga viwanda zilipunguzwa kutokana na nchi za Magharibi kuitenga Tanzania kiuchumi kutokana na kujihusisha kwake ktk vita vya ukombozi vya Afrika, na kitendo cha Tanzania kukataa kufuata siasa za Kibepari.

Baada ya vita baridi "Cold war" kumalizika, uwanja wa biashara ulianza kuwa sawa sawa kwa nchi nyingi duniani, ndipo Tanzania ilipoanza kazi ya kujenga viwanda vyake, huku Kenya ikiwa mbali sana katika "manufacturing sector".

Taarifa za mwaka Jana zinaonyesha kwamba, Tanzania imeipita Kenya tena kwa mbali sana katika mapato yanayopatikana katika " manufacturing sector", na mwelekeo wa ukuaji wa sector ya uzalishaji Kenya ni "hasi" na Tanzania ni chanya.

Kwa mwaka wa Fedha ulioishia June 2019, Manufacturing sector iliingizia Kenya kiasi cha $712 M, wakati Tanzania ilipata $996M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumwa, unalinganisha $712M ambayo sio exports bali ni share ya 'manufacturing sector' ya Kenya kwenye GDP(June 2019) na $996M ambayo ni exports za 'manufacured goods' za Tanzania(Nov. 2019)? Mbona unapenda kujiabisha?
 
Hawana ability ya kuelewa mambo., wanalazimisha mambo yasio kuwepo, only in their lazy brains[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumwa, unalinganisha $712M ambayo sio exports bali ni share ya 'manufacturing sector' ya Kenya kwenye GDP(June 2019) na $996M ambayo ni exports za 'manufacured goods' za Tanzania(Nov. 2019)? Mbona unapenda kujiabisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumwa, unalinganisha $712M ambayo sio exports bali ni share ya 'manufacturing sector' ya Kenya kwenye GDP(June 2019) na $996M ambayo ni exports za 'manufacured goods' za Tanzania(Nov. 2019)? Mbona unapenda kujiabisha?
Hahahaha, imekuuma sanaaa. Unapaswa kuleta data zako ambazo unadhani ndio sahihi ili tulinganishe badala ya kulialia tu.

Revenue yenu iliyotokana na manufacturing sector (Total revenue) ni $712M. Hapo wamesema hiyo revenue yenu ni 7.4% ya GDP yenu.

Tanzanian revenue iliyotokana na "export of manufactured goods only" ni $996M. ukitaka kujua ni % ya GDP ya Tanzania inatokana na Manufacturing sector, utajua kwa kutumia GDP ya Tanzania, nadhani ni kama 12% of our GDP.

Wacha kulialia badala yake onyesha data zako unazodhani ni sahihi ili watu wasome na kukuelewa. Tanzania sio level yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanini husomi uelewe? Bongolala in his best colours.

Do you understand the meaning of tax revenue, vs total revenue?

Tax revenue is what the government collected. Total revenue is what was made.

The taxation of financial services is very different from manufacturing. Anything related to manufacturing is heavily subsidized and given tax credits.
If you opened a factory today say at Nairobi EPZ or Naivasha, you will be granted several years before paying any tax to the government.
The same does not apply if you opened a bank.
 

You are comparing apples to oranges.

The story talks of government revenue (tax) from manufacturing sector.
You are comparing it to Tanzania's revenue from exports? (Most of which goes to private factory owners)

Are you retarded?

Unanikumbusha yule mbongolala mwenzako ambaye alidhani GDP ni government income.

You should tell us how much your government collected in taxes from manufacturing.

Going by the trend of how KRA collects almost 3 times more than TRA, I would guess your government collected less than $300 million in taxes from the manufacturing sector.
 
Are you mad kijana? How can you compare Tax and revenue on the same table? Because you posted a link showing Kenyan Tax revenue, why can't you show us what your govt got the manufacturing industries.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba LINK hapo uliposoma kuwa Tanzania tunawazidi wakenya kwenye uzalishaji wa viwandani.
 
Ninajua umeielewa vizuri sana hiyo article, bali huamini unachokiona unajaribu kutafuta jinsi ya kuficha ukweli, sio rahisi kuficha kwasababu kila MTU anasoma na kuona ukweli.

1)paragraph 3. Hii inazungumzia kuhusu tax inayokusanywa na KRA, kwa imepanuka kwa Sh.10.05B, sawa na 6.52% na kufika Sh.164.30 billion. hiki ndio kiasi ambacho KRA inekusanya toka katika, "Manufacturing sector".
2) Page 4. Hii inazungumzia kuhusu kuzorota kwa sector ya uzalishaji Kenya," I quote"
"The slow down in growth of tax revenue from factories reflects the shrinking in contribution of manufacturing to Kenyan's GDP"
3) Page 6; hii ndiyo inayozungumzia Revenue iliyopatikana katika " manufacturing sector na kuilinganisha na GDP ya Kenya. Inaonyesha jumla ya mapato ni $712M ambayo ni 7.2% ya GDP ya Kenya.

1) Total revenue $712M
2)Tax collected $1.64M
3)% of Revenue to GDP is 7.2%

Hahahaha, hahahaha, hahahaha,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba LINK hapo uliposoma kuwa Tanzania tunawazidi wakenya kwenye uzalishaji wa viwandani.
Hii link inaonyesha mapato ya Kenya yatokanayo na manufacturing sector. Paragraph namba 6, Mara tu baada ya hilo tanga la "Also read", inasema mapato ya Kenya ni Ksh 712 bilioni, sawa na 7.2GDP ya Kenya.
post inayofuata nitakuwekea mapato ya Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba LINK hapo uliposoma kuwa Tanzania tunawazidi wakenya kwenye uzalishaji wa viwandani.
Hii link inaonyesha kwamba, Tanzania imeuza bidhaa za viwandani zenye thamani ya $996M.
Unaswali la ziada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapato ya Kenya ya kodi toka uzalishaji wa viwandani ni KES 164.3 billion; kwa exchange rate ya TZS 22 hii ni sawa na TZS 3.6146 Trilion; tumefikia kiasi hicho?
 

Alafu, kuna tofauti kati ya 'slow down in manufacturing', vs 'slow down in growth of manufacturing'.

Sector ya manufacturing iliendelea kupanuka 2019, lakini sio kwa kasi kama miaka ya awali.
Tax revenue ilipanda kwa Sh10 billion.

Tanzania TRA iliokota ngapi kutoka manufacturing?
 
Rafiki hii ni sawa na TZS 2.2 Trillion wakati wenzetu wako TZS 3.6 Trillion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…