joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Financial services topple manufacturing as top source of tax revenue
Higher levies, taxes and rising energy prices ramp up factories’ cost of production and hit their share of GDP.
Wakati Tanzania na Uganda zikifanywa kama mashamba ya kuzalisha Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vya waingereza vilivyojengwa Kenya. Baada ya Uhuru, jitihada za Tanzania kujenga viwanda zilipunguzwa kutokana na nchi za Magharibi kuitenga Tanzania kiuchumi kutokana na kujihusisha kwake ktk vita vya ukombozi vya Afrika, na kitendo cha Tanzania kukataa kufuata siasa za Kibepari.
Baada ya vita baridi "Cold war" kumalizika, uwanja wa biashara ulianza kuwa sawa sawa kwa nchi nyingi duniani, ndipo Tanzania ilipoanza kazi ya kujenga viwanda vyake, huku Kenya ikiwa mbali sana katika "manufacturing sector".
Taarifa za mwaka Jana zinaonyesha kwamba, Tanzania imeipita Kenya tena kwa mbali sana katika mapato yanayopatikana katika " manufacturing sector", na mwelekeo wa ukuaji wa sector ya uzalishaji Kenya ni "hasi" na Tanzania ni chanya.
Kwa mwaka wa Fedha ulioishia June 2019, Manufacturing sector iliingizia Kenya kiasi cha $712 M, wakati Tanzania ilipata $996M.
Sent using Jamii Forums mobile app