Hujui lugha zinazotumika uwanja wa vita...tulia kanisani huku tuachie wenyewMkuu sio vizuri kuwaita binadamu wenzetu Kuku na mbuzi
HahahahaHujui lugha zinazotumika uwanja wa vita...tulia kanisani huku tuachie wenyew
.....Post ya kipumbavu kabisa for the month of November....Kumbe Bora makofuli wetu. Uhuru amekua mpole kupita kawaida. Raila Apigwe Risasi nchi ikae salama kuliko huu upuuzi. Kumbe Bashite anasaida sana huku ee. Japo tunalalamika ila ni bora kuliko hii vurugu. Rais mpole ni Janga kwa Taifa
Ili risasi zigeuke kua maji ee wacha wapambane na hali zao ili wataobaki hai waheshimianeAiseee tuwaombee wenzetu hali si nzuri kabisa
Mkuu wewe huoni maiti zimelala barabaraniNaona Live kupitia KTN.
Tumwombe Mungu aepushe maafa.
Polisi wameanza kuondoa maiti barabaraniIli risasi zigeuke kua maji ee wacha wapambane na hali zao ili wataobaki hai waheshimiane
Pia itatoa mwanga kwa wengine kujifunza.
Aende wapi?daah..sie tuko busy kumshauri babu mugabe aende kwa amani
mpk next week tutakua tushafahamuAende wapi?
MAAFA YAPI TENA WAKATI WATU WAMEKUFA NA WANAENDELEA KUFANaona Live kupitia KTN.
Tumwombe Mungu aepushe maafa.
Naweza sema jeshi la Zimbobo ni jeshi pekee lililosoma na yenye maadili Africa,linajua kuminya bila kufurukutaBora Zimbabwe na bloodless coup de tat