KENYA: Mapambano makali yanaendelea kati ya Polisi na Wafuasi wa Odinga kwenye mapokezi yake

KENYA: Mapambano makali yanaendelea kati ya Polisi na Wafuasi wa Odinga kwenye mapokezi yake

Aiseee tuwaombee wenzetu hali si nzuri kabisa
 
Ili risasi zigeuke kua maji ee wacha wapambane na hali zao ili wataobaki hai waheshimiane
Pia itatoa mwanga kwa wengine kujifunza.
Polisi wameanza kuondoa maiti barabarani
 
Ukitaka habari kamili fuatilia mapigano hayo kupitia Citizen TV,wapo live wakionyesha jinsi ambavyo Polisi wameishiwa mabomu mpaka wanaamua kurusha mawe kama wanavyofanya waandamanaji.
 
daah..sie tuko busy kumshauri babu mugabe aende kwa amani
 
Nimeona gari yenye namba za usajili wa Tz kwenye hayo maandamo kuna nini!!!!
 
picha ya hilo gari japo haliwezi kuonekana namba zake lakini mimi nimeliona kabisa!!!
IMG_20171117_161856.jpg
 
wangeachwa tu wakampokea, kwani kuna kosa gani vurugu wanaanzisha wao wenyewe, wakumbuke wale sio mbuzi ni binadamu na wana akili vile vile, sasa angalia washawasha nalo limepigwa moto
 
Back
Top Bottom