Kenya masikilizano na ustaarabu ni vigumu kupatikana.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Miaka miwili kabla ya uchaguzi, tayari watu wameanza kuvutana mashati, lini mtajifunza siasa zenye kusikilizana?, nilidhani BBI ingsaidia kuleta maelewano, kumbe ndio imevuruga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's 2022 politics,ngilu ameiba pesa za county so she knows Kama halambi uhuru mkunduni DCI watamkujia, right now hata ukiiba mabilioni Cha msingi tu umsifu uhuru wewe hautaguzwa lakini usipo muabudu hata Kama hujaiba lazima utawekewa kesi .

Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amesema yale ya kitui yamekua ya kitaifa? Ama hujamsikia ngilu akitoa kauli kwamba mkutano ni wake?
Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru hapendi kuambiwa ukweli lakini lazima ataambiwa apende asipende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio linakera uhuru.
Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amesema yale ya kitui yamekua ya kitaifa? Ama hujamsikia ngilu akitoa kauli kwamba mkutano ni wake? Uhuru hapendi kuambiwa ukweli lakini lazima ataambiwa apende asipende.View attachment 1343755

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lengo la BBI ni lipi kama sio kuleta maridhiano ya kitaifa?, sasa kama bado kuna kushutumiana kiasi hiki, kwanini mnapoteza pesa na muda mwingi katika jambo ambalo linaonekana wazi kwamba haliwezi badilisha lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maridhiano kwa lipi haswa? Hii ni njama ya watu kubadilisha katiba ili wabakie madarakani na wengine wajipe madaraka.
Kwani lengo la BBI ni lipi kama sio kuleta maridhiano ya kitaifa?, sasa kama bado kuna kushutumiana kiasi hiki, kwanini mnapoteza pesa na muda mwingi katika jambo ambalo linaonekana wazi kwamba haliwezi badilisha lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe na presha, tutajaribu kuiga ustaarabu wa siasa za Tz. Tuanze kushinda uchaguzi kwa 99% tukisaidiwa na kikosi chetu cha wasiojulikana na wapinzani nao tuwapige risasi hadi wakome.
 
Ikiwa huu ndio ustaarabu ungelipenda tuige heri twendelee na ushenzi wetu.
 
Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tupe congratulations maana Waititu tumemtoa uongozini kwa amani. Ama tukifanya mazuri unanyamaza kama maji ya mtungi na tukifanya mabaya unatukemea?
 
Usiwe na presha, tutajaribu kuiga ustaarabu wa siasa za Tz. Tuanze kushinda uchaguzi kwa 99% tukisaidiwa na kikosi chetu cha wasiojulikana na wapinzani nao tuwapige risasi hadi wakome.
Hio ya 99% inaonyesha T.Z ni dictatorship. Sijui mbona wanajifanya ati wana demokrasia. Kufuli amefungia rights and freedoms za Watz.
 
Miaka miwili kabla ya uchaguzi, tayari watu wameanza kuvutana mashati, lini mtajifunza siasa zenye kusikilizana?, nilidhani BBI ingsaidia kuleta maelewano, kumbe ndio imevuruga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

I hear the pot calling a kettle black. Kuna Mtanzania gani leo hii ambae ni ccm apologetic anaeweza kuhubiri siasa za kistaarabu kwa wengine? We cannot even distinguish ourselves from North Korea, leo tuwahubirie Wakenya siasa za kistaarabu??!!
"Bunge" letu leo hii linajadili kuua watu wenye mawazo tofauti waziwazi kabisa, kuna siasa gani za kistaarabu Tanzania??
 
Vp, zitto mmeamua kumpoteza lini, manake naona mwenzako anataka tuwaige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom