joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Miaka miwili kabla ya uchaguzi, tayari watu wameanza kuvutana mashati, lini mtajifunza siasa zenye kusikilizana?, nilidhani BBI ingsaidia kuleta maelewano, kumbe ndio imevuruga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app