joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Miaka miwili kabla ya uchaguzi, tayari watu wameanza kuvutana mashati, lini mtajifunza siasa zenye kusikilizana?, nilidhani BBI ingsaidia kuleta maelewano, kumbe ndio imevuruga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".That's 2022 politics,ngilu ameiba pesa za county so she knows Kama halambi uhuru mkunduni DCI watamkujia, right now hata ukiiba mabilioni Cha msingi tu umsifu uhuru wewe hautaguzwa lakini usipo muabudu hata Kama hujaiba lazima utawekewa kesi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru hapendi kuambiwa ukweli lakini lazima ataambiwa apende asipende.Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".
Sent using Jamii Forums mobile app
BBI ni shughuli ya kitaifa acha kuwa cheap wewe.Nani amesema yale ya kitui yamekua ya kitaifa? Ama hujamsikia ngilu akitoa kauli kwamba mkutano ni wake? Uhuru hapendi kuambiwa ukweli lakini lazima ataambiwa apende asipende.View attachment 1343755
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lengo la BBI ni lipi kama sio kuleta maridhiano ya kitaifa?, sasa kama bado kuna kushutumiana kiasi hiki, kwanini mnapoteza pesa na muda mwingi katika jambo ambalo linaonekana wazi kwamba haliwezi badilisha lolote?Nani amesema yale ya kitui yamekua ya kitaifa? Ama hujamsikia ngilu akitoa kauli kwamba mkutano ni wake? Uhuru hapendi kuambiwa ukweli lakini lazima ataambiwa apende asipende.View attachment 1343755
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lengo la BBI ni lipi kama sio kuleta maridhiano ya kitaifa?, sasa kama bado kuna kushutumiana kiasi hiki, kwanini mnapoteza pesa na muda mwingi katika jambo ambalo linaonekana wazi kwamba haliwezi badilisha lolote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tupe congratulations maana Waititu tumemtoa uongozini kwa amani. Ama tukifanya mazuri unanyamaza kama maji ya mtungi na tukifanya mabaya unatukemea?Haya unayozungumza yanazidi kudhihirisha ni jinsi gani Kenya mnavyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu, mbona kule Kiambuu wamemalizana kistaarabu sana na Waititu, kwanini katika level ya kitaifa mnaleta mambo ya aibu kiasi hiki?, jaribuni kuwa "matured and civilized".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ya 99% inaonyesha T.Z ni dictatorship. Sijui mbona wanajifanya ati wana demokrasia. Kufuli amefungia rights and freedoms za Watz.Usiwe na presha, tutajaribu kuiga ustaarabu wa siasa za Tz. Tuanze kushinda uchaguzi kwa 99% tukisaidiwa na kikosi chetu cha wasiojulikana na wapinzani nao tuwapige risasi hadi wakome.
Miaka miwili kabla ya uchaguzi, tayari watu wameanza kuvutana mashati, lini mtajifunza siasa zenye kusikilizana?, nilidhani BBI ingsaidia kuleta maelewano, kumbe ndio imevuruga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp, zitto mmeamua kumpoteza lini, manake naona mwenzako anataka tuwaigeI hear the pot calling a kettle black. Kuna Mtanzania gani leo hii ambae ni ccm apologetic anaeweza kuhubiri siasa za kistaarabu kwa wengine? We cannot even distinguish ourselves from North Korea, leo tuwahubirie Wakenya siasa za kistaarabu??!!
"Bunge" letu leo hii linajadili kuua watu wenye mawazo tofauti waziwazi kabisa, kuna siasa gani za kistaarabu Tanzania??
So you think. Siasa za Kenya huzielewi bro...hapa low IQ yako labda uanzishe Uzi wa vile huko Moshi watu walidanganywa na mhubiri mmoja...vipi hujaanzisha nyuzi za Moshi Stampede?
Vp, zitto mmeamua kumpoteza lini, manake naona mwenzako anataka tuwaige
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi haina fedha, Ndege zakamatwa kila uchao, wanafunzi zaidi ya 50,000 hawana shule za kusomea, siasa za 80s n.k. Kweli mko na ushenzi.Ikiwa huu ndio ustaarabu ungelipenda tuige heri twendelee na ushenzi wetu.
Si ccm(watu wa ndio mzee) hko naskia wanataka kumuuwa zitto jamani...What????
Si ccm(watu wa ndio mzee) hko naskia wanataka kumuuwa zitto jamani...
Ama wewe habari zao umeshazichoka
Sent using Jamii Forums mobile app