Kenya masikilizano na ustaarabu ni vigumu kupatikana.

ever lived in kenya?
Mimi nilizaliwa Kenya katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, Mbunge wangu alikua Juma Boi, baadae alipofariki akachukua mtoto wake Boi Juma Boi, ndio tukatoka Kenya kuja Tanzania, Baba yangu alikua Meneja ktk kiwanda cha Sukari cha Ramisi, mama yangu alikua mtanzani akifundisha katika shule ya msingi Duga Maforoni karibu na Horohoro, Kenya ninaijua vizuri kuliko ninavyoijua TZ.
 
Vanga[emoji23][emoji23][emoji23]!!
My God, kumbe umeishi bundu hvo...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nadhani unajua jinsi ninavyowajua wakenya na Kenya kwa ujumla, Kenya ni nchi ya hovyo sana, na wakenya ni wabaguzi sana, sio nchi nzuri wala sio salama kabisa
Vanga ndiko watu ni wabaguzi? kha!!, yani hata kudanganya hujui?
Pili uliishi bundu jomba, hujui kitu kuhusu kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Narudia tena, hujui lolote kuhusu kenya, usituletee habari za vijiweni hku...
Umekaririshwa hko basi unataka kuja ujitambe hku



Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Vanga kuna ukabila na ubaguzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
We bado unajifunza kudanganya, hujui kitu jomba...
Jaribu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hohohoooo!!!!
Kadanganye wengine vijiweni, eti vanga kuna ukabila[emoji1787][emoji1787]
Yani nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupoteza ukweli, nimekuambia nimezaliwa Vanga na ninaijua vizuri Kenya, kwamba Kenya kuna ukabila na Ubaguzi wa hali ya Juu sana, ninyi wakenya ni wabaguzi sana tena sana, Kenya ninyi ni wabaguzi sana
 
Acha kupoteza ukweli, nimekuambia nimezaliwa Vanga na ninaijua vizuri Kenya, kwamba Kenya kuna ukabila na Ubaguzi wa hali ya Juu sana, ninyi wakenya ni wabaguzi sana tena sana, Kenya ninyi ni wabaguzi sana
Bora nishangae tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vanga kuna ukabila?

Labda useme ulibaguliwa wapi, lkn uache kuisingizia vanga ya wenyewe maskini[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…