Kenya: Matatu Culture (Uniquely Kenyan)

Kwenye swala la daladala(matatu) kenya nawapeni hongera sana kwa hilo hususani hapo Nairobi, wamiliki wa daladala bongo mna la kujifunza kenya.
 
Tujifunze kupaka paka hayo marangi au ni mimi ndio sijakupata [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye swala la daladala(matatu) kenya nawapeni hongera sana kwa hilo hususani hapo Nairobi, wamiliki wa daladala bongo mna la kujifunza kenya.
 
In Kenya huwezi ambia watu wasimame kwenye bus, unless its raining or you carry them for free.
We are used to sitting in comfortable seats with sweet music playing.. and BTW i don't think a BRT is meant for every city.

Maybe in Dar it works, In Nairobi we need metro trains
 
Sasa mbona hizo metro train's hazipo 😂😂😂
 
Uniquely Kenyan! Colourful graffiti, crazy bodyworks and rims, music to kill. Limo. Tilting head. Justify. Tel Aviv.
 
Mwanzisha thread inaonekana exposure kwake ni zero. Au ushamba.
 

Duniani Kote Mass transit ndiyo ilivyo,
Sijui kama mko washamba na hamna exposure kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…