Kenya: Matatu Culture (Uniquely Kenyan)

kam kweli ni utamaduni pakeni kwenye ndege zenu...

Namshangaa mtu anaesupport ujinga na uchafu kama huo.....

Public transport inakua identified kwa special colour na sio kwa upuuzo wanaofanya wakenya kwneye usafiri wa uma...

Na sijui kwa nn serikari yao inaruhusu ujinga kama huo.. yaani ni full uhuni haukubaliki kabisa kwenye jumuia ya kimataifa
 
Eti jumuiya ya kimataifa? Kuhusu graffiti, sanaa ambayo unasema ni uchafu na ujinga? [emoji1] Hivi nyinyi watu mnaishi kwenye dunia ipi hiyo ambayo sanaa ya graffiti haipo? Sanaa kama hiyo ipo kwenye miji tofauti duniani, Rabat, Marrakech kule Morocco, Casablanca pia wamerembesha sana kuta zao na graffiti. Hata kule Gaza na West Bank, Palestine kwenye ukuta wa myahudi graffiti zipo. Kenya ni kwenye matatu na kwa taarifa yako rais Uhuru Kenyatta ndiye aliyerudisha na kukubalia tena sanaa hiyo. Nairobi’s Famed Matatu Graffiti Is Back Matatu art & culture imeangaziwa sana na media za kimataifa, CNN, BBC, VOA, DW n.k.
 
Tujifunze kupaka paka hayo marangi au ni mimi ndio sijakupata [emoji23][emoji23][emoji23]
Ata hao hapo chini ndege zao wanapaka, 1-emirates airline, 2-Kenya Airways 😂😂😂 kupaka paka huko ndio deal! 🤣



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…