Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Nyie kwa vituko hamjambo, sasa umekuja na mpya eti wanaoenda kwa waganga ni malofa wa vijijini.Ukiambiwa utabisha, lakini Kenya wanaoenda kwa waganga ni malofa wa kule vijijini tu. Afu wao pia shughuli yenyewe huwa wanaifanya wakiwa wamejificha au hata gizani. Yaani heri waseme umekonda kwasababu ya vile virusi, ila si uchawi. joto la jiwe njoo humu jombaa.
Basi sawa tumekubali, lakini je, yale mabango yaliyojaa mjini ya waganga wa kienyeji yanawalenga akina nani kama sio nyie wa mjini?
Nasubiri uje na kituko kingine maana huu mwaka ni wa vituko kutoka Kenya.