KENYA: Mganga wa Kienyeji ajiua kwa kukosa wateja

KENYA: Mganga wa Kienyeji ajiua kwa kukosa wateja

Ukiambiwa utabisha, lakini Kenya wanaoenda kwa waganga ni malofa wa kule vijijini tu. Afu wao pia shughuli yenyewe huwa wanaifanya wakiwa wamejificha au hata gizani. Yaani heri waseme umekonda kwasababu ya vile virusi, ila si uchawi. joto la jiwe njoo humu jombaa.
Nyie kwa vituko hamjambo, sasa umekuja na mpya eti wanaoenda kwa waganga ni malofa wa vijijini.

Basi sawa tumekubali, lakini je, yale mabango yaliyojaa mjini ya waganga wa kienyeji yanawalenga akina nani kama sio nyie wa mjini?

Nasubiri uje na kituko kingine maana huu mwaka ni wa vituko kutoka Kenya.
 
Angerudi kwao Tanzania hayangemkuta, labda angepokewa vizuri na kukuta nchi imeshakua ya viwanda. Huku tulishawashtukia na hwapati hela zetu tena, Wakenya tubadilishe imani kabisa, naomba taarifa kama hizi zisambazwe kwenye mitadao yote ya kijamii ili ifahamike uganga ni utapeli.

Mabango kama haya tuyapige chini maana yamejaa nchi yote

View attachment 669449
Hamuwezi kuikataa hiyo huduma wakati nyie ni waumini wazuri wa ushirikina.

Mlichokoswa ni uwezo wa kutengeneza hicho kinachoitwa dawa, lakini kwa matumizi mnaongoza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
nani aliyekuambia huyo aliyejinyonga alitoka Tanzania.
acha urongo, na wale night runners ni waTanzania?
na wale wa kuwashikanisha wala uroda haramu ni waTanzania?
wale wa nyuki, ukiiba la nyuki linakuganda ni waTanzania?
huko Kenya kuna wachawi wa kutosha tu.
Ni kweli mkuu huyo hajatoka Tanzania, kama angekuwa katoka huku wakenya walivyo na mbwembwe wangeandika tofauti habari hiyo, lazima ingeonekana mganga kutoka tz ndo kajinyonga.

Kwa kuwa ni wa kwao, wameamua hata kuficha jina lake.
 
Angerudi kwao Tanzania hayangemkuta, labda angepokewa vizuri na kukuta nchi imeshakua ya viwanda. Huku tulishawashtukia na hwapati hela zetu tena, Wakenya tubadilishe imani kabisa, naomba taarifa kama hizi zisambazwe kwenye mitadao yote ya kijamii ili ifahamike uganga ni utapeli.

Mabango kama haya tuyapige chini maana yamejaa nchi yote

View attachment 669449
Hakuna mtz anaandika kiswahili namna hiyo. Inawezekana hiyo Tz hapo ni kuwavutia tuu halafu unakutana na mganga kutoka Kisii
 
Back
Top Bottom