KENYA: Mganga wa Kienyeji ajiua kwa kukosa wateja

Nyie kwa vituko hamjambo, sasa umekuja na mpya eti wanaoenda kwa waganga ni malofa wa vijijini.

Basi sawa tumekubali, lakini je, yale mabango yaliyojaa mjini ya waganga wa kienyeji yanawalenga akina nani kama sio nyie wa mjini?

Nasubiri uje na kituko kingine maana huu mwaka ni wa vituko kutoka Kenya.
 
Hamuwezi kuikataa hiyo huduma wakati nyie ni waumini wazuri wa ushirikina.

Mlichokoswa ni uwezo wa kutengeneza hicho kinachoitwa dawa, lakini kwa matumizi mnaongoza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ni kweli mkuu huyo hajatoka Tanzania, kama angekuwa katoka huku wakenya walivyo na mbwembwe wangeandika tofauti habari hiyo, lazima ingeonekana mganga kutoka tz ndo kajinyonga.

Kwa kuwa ni wa kwao, wameamua hata kuficha jina lake.
 
Hakuna mtz anaandika kiswahili namna hiyo. Inawezekana hiyo Tz hapo ni kuwavutia tuu halafu unakutana na mganga kutoka Kisii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…