KENYA: Mganga wa Kienyeji ajiua kwa kukosa wateja

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mganga wa Kienyeji kutoka Maili Saba huko Trans Nzoia amejiua kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na kukosa Wateja.

> Mganga huyo alikutwa akining'inia katika kitanza alichokifunga nyumbani kwake.

=====

A witch doctor from Maili Saba in Trans Nzoia County committed suicide on Tuesday, January 2 after he allegedly got frustrated due to lack of clients.

The body of the witchdoctor was found hanging from a rope tied to the eaves of his house. His neighbours alleged that the witchdoctor killed himself after the number of clients dwindled significantly.

“Hard economic times pushed him into committing suicide. For long, he did not have clients. Residents of this area hardly seek witchdoctors’ services,” said one resident.

Area chief Esther Waswa confirmed the incident.

“We received information that he committed suicide in his house. According to the witchdoctor’s neighbours, he went missing on Monday,” said Ms Waswa.
 
Anaenda kukutana na Lucifer huko aendako pole yake moto umeshachochewa siku nyingi tu
 
Kumbe sio bongo tu...vyuma vinekaza hadi kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiambiwa utabisha, lakini Kenya wanaoenda kwa waganga ni malofa wa kule vijijini tu. Afu wao pia shughuli yenyewe huwa wanaifanya wakiwa wamejificha au hata gizani. Yaani heri waseme umekonda kwasababu ya vile virusi, ila si uchawi. joto la jiwe njoo humu jombaa.
 
acha porojo nyie si ndo visa vya kunasana, mara nyuki vinatokea kwenu je? wanayo yanayofanya haya ni wauguzi ama
 
Hizo ni fixi za wabongo jombaa. Wanakuja huku na sayansi yao ya kiafrika. Lakini dini inawabwaga chini mdogomdogo. Wataanza pia kujitia kitanzi hivi karibuni. Amina.
 
Angetia timu Bongo na kujitangaza wavaa hirizi angewapata tu. Pole zake.
 
Hizo ni fixi za wabongo jombaa. Wanakuja huku na sayansi yao ya kiafrika. Lakini dini inawabwaga chini mdogomdogo. Wataanza pia kujitia kitanzi hivi karibuni. Amina.
kenya uchawi una aminiwa hasa wa kumkomoa mwizi ama wa tego sema tanzania tuna amini zaidi
 
Ukiambiwa utabisha, lakini Kenya wanaoenda kwa waganga ni malofa wa kule vijijini tu. Afu wao pia shughuli yenyewe huwa wanaifanya wakiwa wamejificha au hata gizani. Yaani heri waseme umekonda kwasababu ya vile virusi, ila si uchawi. joto la jiwe njoo humu jombaa.
Tatizo ninyi wakenya kila kitu mnakigeuza kwa faida yenu, huyu mtu miaka yote amekua akiishi kwa kutegemea wateja ambao alikuwa akiwapata kwa wingi tu, ghafla idadi ya wateja imepungua, kunasababu nyingi za kupungua kwa wateja, inawezekana watu wameshagundua dawa zake hazifanyi kazi, au kuna mganga mwengine wateja wamehamia uko, au kutokana na hali ngumu ya maisha, watu hawana pesa hivyo hawaendi tena, hiyo ni biashara kama biashara ingine, kumbuka hata wachungaji wengi wanalalamika kupungua kwa sadaka za jumapili, hii haimaanishi kwamba watu wameacha kumuamini Mungu.
 
Angerudi kwao Tanzania hayangemkuta, labda angepokewa vizuri na kukuta nchi imeshakua ya viwanda. Huku tulishawashtukia na hwapati hela zetu tena, Wakenya tubadilishe imani kabisa, naomba taarifa kama hizi zisambazwe kwenye mitadao yote ya kijamii ili ifahamike uganga ni utapeli.

Mabango kama haya tuyapige chini maana yamejaa nchi yote

20160428_090134.jpg
 
Angesubiri 2019 wkt wa uchaguzi "watia nia" kibao kutoka bongo wange come pande za kenya kupewa maujuzi na waganga.

Hopefully this time Albino watasalimika
 
Angerudi kwao Tanzania hayangemkuta, labda angepokewa vizuri na kukuta nchi imeshakua ya viwanda. Huku tulishawashtukia na hwapati hela zetu tena, Wakenya tubadilishe imani kabisa, naomba taarifa kama hizi zisambazwe kwenye mitadao yote ya kijamii ili ifahamike uganga ni utapeli.

Mabango kama haya tuyapige chini maana yamejaa nchi yote

View attachment 669449

nani aliyekuambia huyo aliyejinyonga alitoka Tanzania.
acha urongo, na wale night runners ni waTanzania?
na wale wa kuwashikanisha wala uroda haramu ni waTanzania?
wale wa nyuki, ukiiba la nyuki linakuganda ni waTanzania?
huko Kenya kuna wachawi wa kutosha tu.
 
Angerudi kwao Tanzania hayangemkuta, labda angepokewa vizuri na kukuta nchi imeshakua ya viwanda. Huku tulishawashtukia na hwapati hela zetu tena, Wakenya tubadilishe imani kabisa, naomba taarifa kama hizi zisambazwe kwenye mitadao yote ya kijamii ili ifahamike uganga ni utapeli.

Mabango kama haya tuyapige chini maana yamejaa nchi yote

View attachment 669449
Mmewapa utajiri waganga toka TZ kwa ujinga wenu
 
Back
Top Bottom