Kenya Middle Income yajivunia kuto kunya hadharani: Hongereni Majirani

i disagree brother although it might appear embarassing this is one of the thing we MUST tackle. on our way to a fully developed country. wajua ata india hivi vitu vipo na ijalishi uchumi wenu ni mkubwa aje msipo tatua mtabaki tu developing.

Brother if your prosperity will go Indian way, you have a way to go. How can you pick the hq ya uchafu duniani as a model.
 
i disagree brother although it might appear embarassing this is one of the thing we MUST tackle. on our way to a fully developed country. wajua ata india hivi vitu vipo na ijalishi uchumi wenu ni mkubwa aje msipo tatua mtabaki tu developing.
I agree too.... but I am just against the use of improper language on this board...that was very unprofessional and I am surprised to see the Kenya Red Cross logo on that board...couldn't they have seeked a professional translator to write a much more respectable statement...lugha ya heshima...for example, baada ya kuandika kuzaa unaandika kujifungua...
 
In short wewe call it tasfida. Kupunguza ukali wa maneno badala ya kunya wangesema kujisaidia haja kubwa.
Btw hongereni sana for this achievement.
 
View attachment 782065

Katika hali ya kupiga butwaa wengi mido inkamu Kenya yajivunia hatua ya watu wa vijiji vyao kujisaidia vyooni.
Tuwapongeze majirani jamani.

kila mara nawaambia mjikubali kwanza ili muweze kurekebisha hali ilivyo tz..... ..... sina ubaya, napita tu lakini nitaziwacha hizi hapa!
IMG_20180520_213032_935.JPG

IMG_20180520_212955_963.JPG

IMG_20180520_213111_563.JPG

IMG_20180520_213138_383.JPG

hapa kwa young toilet campaigners naona akina geuza ulambwe, eliakeem mulisaaa REDEEMER. Annael etc! just imagine 5million of you do not use a toilet/latrine at all😱

IMG_20180520_211915_735.JPG

ldc ni shida na matatizo!
 
Most likely hiyo poster imefanywa na Red Cross (funded by World Vision) kudhihirisha kazi nzuri ya ujenzi wa vyoo waliyofanya na kuwatumia wafadhiri wao ili wateme mpunga zaidi.
 
In short wewe call it tasfida. Kupunguza ukali wa maneno badala ya kunya wangesema kujisaidia haja kubwa.
Btw hongereni sana for this achievement.
bora kimeeleweka...mengine kafunze wenzako wadogo..sina haja ya kufunzwa kiswahili mie
 
kila mara nawaambia mjikubali kwanza ili muweze kurekebisha hali ilivyo tz..... ..... sina ubaya, napita tu lakini nitaziwacha hizi hapa!
View attachment 782213
View attachment 782214
View attachment 782215
View attachment 782217

hapa kwa young toilet campaigners naona akina geuza ulambwe, eliakeem mulisaaa REDEEMER. Annael etc! just imagine 5million of you do not use a toilet/latrine at all😱

View attachment 782219

ldc ni shida na matatizo!

Ahaaa haaa haaa
Lkn sisi hatujivunii kunya chooni.
😀😀
 
bora kimeeleweka...mengine kafunze wenzako wadogo..sina haja ya kufunzwa kiswahili mie

Ahaaa haaa haaa
Hongera kwa achievement hiyo ya ku poop chooni.

Nimetumia tasfida.
 
hii ni aibu..hawa wanatakiwa washikwe wafungwe kwa kutuaibisha kiasi hiki? lugha chafu sana ambayo haifai kamwe kuandikwa kwenye mabodi kama haya..there is a better way to do this...
acha hasira sasa kosa sio letu😀😀😀
 
I agree too.... but I am just against the use of improper language on this board...that was very unprofessional and I am surprised to see the Kenya Red Cross logo on that board...couldn't they have seeked a professional translator to write a much more respectable statement...lugha ya heshima...for example, baada ya kuandika kuzaa unaandika kujifungua...

Mie sioni tatizo na bango hilo. Wakati mwingine, ni vyema ukali wa maneno ujitokeze kwani tunaongea kuhusu life and death issues. Hamana haja ya tafsida wakati kama huu. Kunya ni kunya tu. Ujumbe ni lazima ufike.
 
Mkulu katika desturi zetu si jambo la KAWAIDA. Ndiyo maana tuna maneno kama ASHAKUMU SI MATUSI, KUMRADHI na TASFIDA.
 
Back
Top Bottom