[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]You guys are dumb aje.... Can't you see the extras in black is PHOTOSHOP......shenzi type
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]You guys are dumb aje.... Can't you see the extras in black is PHOTOSHOP......shenzi type
Mkulu katika desturi zetu si jambo la KAWAIDA. Ndiyo maana tuna maneno kama ASHAKUMU SI MATUSI, KUMRADHI na TASFIDA.
Naon mnazidi kunya kwa wingi kila uchao 😀😀😀Ina MAANA hayo majamaa yanaonekana majanja kumbe YANAJISAIDIA HADHARANI KAMA NG'OMBE.
DUUU
Desturi zipi? Ashakumu, Kumradhi, Tafsida, ni maneno ya kiafrika au ni maneno yalitoholewa kutoka kwenye lugha ya kiarabu?
Kama nilivyoeleza, wakati mwingine ni vyema ukali wa maneno ujitokeze ili ujumbe ufike. Neno Kunya ni neno la Kiswahili. Kwani mwataka litumike wapi?
Nchi kumi ulimwenguni zilizo na tabia ya kumwaga mbolea ovyo ovyo
View attachment 782443
we kunya hadharani unaona aibu ya nn sasa😀😀Nchi kumi ulimwenguni zilizo na tabia ya kumwaga mbolea ovyo ovyo
View attachment 782443
Mh!hii ni aibu..hawa wanatakiwa washikwe wafungwe kwa kutuaibisha kiasi hiki? lugha chafu sana ambayo haifai kamwe kuandikwa kwenye mabodi kama haya..there is a better way to do this...
Mido inkamu walikuwa wanaishi kwenye mabanda Panya,Kunya porini kama Panya, angalau kidogo wameanza starabika.Achievements za mido inkamu kwenye 21st century.
Wanajivunia kunya faraghani. Duuu KAZI ipo KWELI.
Asee mijini kwetu hakuna mapori ya kunya kunya ovyo, kila mutu anachimba choo chake, Bwana Afya anapitia kila nyumba na kuangalia kama ina choo, kama choo hamna unashitakiwa na kulipa faini.tumekubali. swali ni tanzania hali vipi kama ldc? manake najua miji. mingi sana haina sewerage system.
Asee mijini kwetu hakuna mapori ya kunya kunya ovyo, kila mutu anachimba choo chake, Bwana Afya anapitia kila nyumba na kuangalia kama ina choo, kama choo hamna unashitakiwa na kulipa faini.
View attachment 782065
Katika hali ya kupiga butwaa wengi mido inkamu Kenya yajivunia hatua ya watu wa vijiji vyao kujisaidia vyooni.
Tuwapongeze majirani jamani.