Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CC: Tony254 congrats my brother! Inakaa mmeacha hii maneno, hongereni kwa kuwa Wastaarabu..View attachment 782065
Katika hali ya kupiga butwaa wengi mido inkamu Kenya yajivunia hatua ya watu wa vijiji vyao kujisaidia vyooni.
Tuwapongeze majirani jamani.
Noma hii😂😂😂🙆
mbona tz mabasi yanasimamishwa abiria wanatimka mwituni kwenda kunya mazeee! kuna siku nlipandaga sai baba daaa sitorudia tena!, abiria wakarudi ndani wengi wananuka mefiiiii! ebooo....eti tumetoka kuchimba dawa😂
mbona tz mabasi yanasimamishwa abiria wanatimka mwituni kwenda kunya mazeee! kuna siku nlipandaga sai baba daaa sitorudia tena!, abiria wakarudi ndani wengi wananuka mefiiiii! ebooo....eti tumetoka kuchimba dawa[emoji23]
wewe ndio ulijamba bana,si useme tu!!!wenzio wanakwenda kukojoa wewe unakuja na story za mavi.