Kenya mkiacha kiburi na majivuno tunaweza kuwasaidia hili tatizo la al shabaab once and for all

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
 
Tulisha wapa offer wakati ule ndio yana anza wakakataa. Lakini kwasasa hivi sidhani hata Tanzania iko tayari kujingiza kwenye urojo huu, maana ukipima hali halisi, kazi imeongezeka zaidi. Kuyamaliza hayo ma-Al-Shababu ni moja lakini kujenga serikali iliyokuwa imara na yenye uwezo wa kujilinda ni swala hata Marekani wanashidwa huko Iraq na Afghanistan.
 
Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
Mbona kibiti mmechemka wale watoto hamjawapata mpaka Leo?Mtwara inachemka kama kibiti mnaogopa hata kutangaza,Kenya ndio mtaweza???
 
Tanzania haiwezi kujiingiza kwenye huo upuuzi wa alshabab
 
Mbona kibiti mmechemka wale watoto hamjawapata mpaka Leo?Mtwara inachemka kama kibiti mnaogopa hata kutangaza,Kenya ndio mtaweza???
Umelala dunia gani wewe?, Kibiti unaweza kunywa chai hata barabarani, hakuna hata mbu anayeleta chokochoko Kibiti, waliuliwa wote kama sisimizi, wachache waliobaki walikimbilia mapori ya Msumbiji, kwa miezi sita sasa umeshasikia au kuona hata mbwa likikatiza Kibiti?.
 
Mi kibiti mpaka kesho naamini ni mazingaombwe yao wenyewe serikali,lakini alshabab hili kundi si lakubishana nalo.
 
Umelala dunia gani wewe?, Kibiti unaweza kunywa chai hata barabarani, hakuna hata mbu anayeleta chokochoko Kibiti, waliuliwa wote kama sisimizi, wachache waliobaki walikimbilia mapori ya Msumbiji, kwa miezi sita sasa umeshasikia au kuona hata mbwa likikatiza Kibiti?.
Bado huijui kibiti kwakuwa unaadisiwa pole,laiti ungeifahamu usingelopoka,kama kweli mmewaweza watoto wako wapi?na kwa nini serikali imekataza vyombo vyahabari kuongelea habari za kibiti?unahisi ni salama wakati hamna usalama,Mkuu lakuambiwa changanya na lako
 
Mbona unajichanganya?, kwanza unauliza swali, kama tumepaweza watoto wako wapi?, huko kutowaona hao watoto ndiyo kupaweza kwenyewe huko, kwasababu hao watoto ndiyo waliokuwa wakichonga michongo. Pili unasema sipajui bali ninahadithiwa, wewe unayepajua tafadhali tuambie, vipi mauaji bado yanaendelea?.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
543034502c6ee875d4a80064e805ffd5.jpg
 
Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mmeshindwa kuwapata wasiojulikana mtawaweza alshabab? Acheni usanii
 
Mbona unajichanganya?, kwanza unauliza swali, kama tumepaweza watoto wako wapi?, huko kutowaona hao watoto ndiyo kupaweza kwenyewe huko, kwasababu hao watoto ndiyo waliokuwa wakichonga michongo. Pili unasema sipajui bali ninahadithiwa, wewe unayepajua tafadhali tuambie, vipi mauaji bado yanaendelea?.
Kwakuwa unadhani wote wanasikiliza story za kupikwa,ndugu bado hali tete,na nilipokuuliza mmpewa watoto ama mmewaona nilitaka kujua kama unajua kweli
 
Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
Unaumwa wewe m23 wenyewe wamewatoa nishai kongo sembuse Alshababu naona huwapendi kweli wanajeshi wetu...
 
Wale wa kibit mkuu unawafananisha na Alisha bab
Unapuyanga Mzee silaha zenyewe ad wawapokonye police
 
Kwakuwa unadhani wote wanasikiliza story za kupikwa,ndugu bado hali tete,na nilipokuuliza mmpewa watoto ama mmewaona nilitaka kujua kama unajua kweli
Sasa mbona hutuambii sisi tusiojua hiyo hali tete ni ipi?, mbona unaijua wewe peke yako hutaki kutushirikisha?, katika dunia ya leo ya mitandao ya kijamii hakuna siri tena, hatutegemei Radio wala magazeti pekee, kama hali ingekuwa tete, mitandao isingekuwa kimya, taarifa zingezagaa kama moto wa petroli, kaka acha kutuletea uzushi, Kibiti imetulia fanya shughuli zako.
 
Usilazimishe chai ya rangi kuwa bia,nimekwambia lakuambiwa changanya na lako
 
Back
Top Bottom