MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida