MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mbona kibiti mmechemka wale watoto hamjawapata mpaka Leo?Mtwara inachemka kama kibiti mnaogopa hata kutangaza,Kenya ndio mtaweza???Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
Umelala dunia gani wewe?, Kibiti unaweza kunywa chai hata barabarani, hakuna hata mbu anayeleta chokochoko Kibiti, waliuliwa wote kama sisimizi, wachache waliobaki walikimbilia mapori ya Msumbiji, kwa miezi sita sasa umeshasikia au kuona hata mbwa likikatiza Kibiti?.Mbona kibiti mmechemka wale watoto hamjawapata mpaka Leo?Mtwara inachemka kama kibiti mnaogopa hata kutangaza,Kenya ndio mtaweza???
Mi kibiti mpaka kesho naamini ni mazingaombwe yao wenyewe serikali,lakini alshabab hili kundi si lakubishana nalo.Umelala dunia gani wewe?, Kibiti unaweza kunywa chai hata barabarani, hakuna hata mbu anayeleta chokochoko Kibiti, waliuliwa wote kama sisimizi, wachache waliobaki walikimbilia mapori ya Msumbiji, kwa miezi sita sasa umeshasikia au kuona hata mbwa likikatiza Kibiti?.
Bado huijui kibiti kwakuwa unaadisiwa pole,laiti ungeifahamu usingelopoka,kama kweli mmewaweza watoto wako wapi?na kwa nini serikali imekataza vyombo vyahabari kuongelea habari za kibiti?unahisi ni salama wakati hamna usalama,Mkuu lakuambiwa changanya na lakoUmelala dunia gani wewe?, Kibiti unaweza kunywa chai hata barabarani, hakuna hata mbu anayeleta chokochoko Kibiti, waliuliwa wote kama sisimizi, wachache waliobaki walikimbilia mapori ya Msumbiji, kwa miezi sita sasa umeshasikia au kuona hata mbwa likikatiza Kibiti?.
Mbona unajichanganya?, kwanza unauliza swali, kama tumepaweza watoto wako wapi?, huko kutowaona hao watoto ndiyo kupaweza kwenyewe huko, kwasababu hao watoto ndiyo waliokuwa wakichonga michongo. Pili unasema sipajui bali ninahadithiwa, wewe unayepajua tafadhali tuambie, vipi mauaji bado yanaendelea?.Bado huijui kibiti kwakuwa unaadisiwa pole,laiti ungeifahamu usingelopoka,kama kweli mmewaweza watoto wako wapi?na kwa nini serikali imekataza vyombo vyahabari kuongelea habari za kibiti?unahisi ni salama wakati hamna usalama,Mkuu lakuambiwa changanya na lako
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mmeshindwa kuwapata wasiojulikana mtawaweza alshabab? Acheni usaniiSasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
Kwakuwa unadhani wote wanasikiliza story za kupikwa,ndugu bado hali tete,na nilipokuuliza mmpewa watoto ama mmewaona nilitaka kujua kama unajua kweliMbona unajichanganya?, kwanza unauliza swali, kama tumepaweza watoto wako wapi?, huko kutowaona hao watoto ndiyo kupaweza kwenyewe huko, kwasababu hao watoto ndiyo waliokuwa wakichonga michongo. Pili unasema sipajui bali ninahadithiwa, wewe unayepajua tafadhali tuambie, vipi mauaji bado yanaendelea?.
Unaumwa wewe m23 wenyewe wamewatoa nishai kongo sembuse Alshababu naona huwapendi kweli wanajeshi wetu...Sasa hiko weza kabisa kuwa Al shabaab kwa njia yoyote ile hawawezi kutetemeshwa na na Jeshi la Kenya.
Mbaya zaidi wanashambulia muda wowote, mtu yeyote na hata eneo lolote watakalo,Kila yanapotokea mapigano always Jeshi la Kenya huwa linapoteza zaidi,najua watasema labda ni ambush lkn kama jeshi mlitakiwa muwe na Intel prior to that.
Maoni.
Kwa uhakika kabisa JWTZ ndio jeshi pekee huu ukanda wetu linaoweza kuwafurusha hao al shabaab, sio Ethiopia wala Uganda wala nani, ombeni msaada mapema.
Kibiti walipotea kabisa unaweza hata kula githeri bila shida
Sasa mbona hutuambii sisi tusiojua hiyo hali tete ni ipi?, mbona unaijua wewe peke yako hutaki kutushirikisha?, katika dunia ya leo ya mitandao ya kijamii hakuna siri tena, hatutegemei Radio wala magazeti pekee, kama hali ingekuwa tete, mitandao isingekuwa kimya, taarifa zingezagaa kama moto wa petroli, kaka acha kutuletea uzushi, Kibiti imetulia fanya shughuli zako.Kwakuwa unadhani wote wanasikiliza story za kupikwa,ndugu bado hali tete,na nilipokuuliza mmpewa watoto ama mmewaona nilitaka kujua kama unajua kweli
Wako wapo hao M23?, au umekurupuka toka usingizini?Unaumwa wewe m23 wenyewe wamewatoa nishai kongo sembuse Alshababu naona huwapendi kweli wanajeshi wetu...
Hapana lolote ya kwake yanawashinda wanamtaka ngoma ya jirani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mmeshindwa kuwapata wasiojulikana mtawaweza alshabab? Acheni usanii
Usilazimishe chai ya rangi kuwa bia,nimekwambia lakuambiwa changanya na lakoSasa mbona hutuambii sisi tusiojua hiyo hali tete ni ipi?, mbona unaijua wewe peke yako hutaki kutushirikisha?, katika dunia ya leo ya mitandao ya kijamii hakuna siri tena, hatutegemei Radio wala magazeti pekee, kama hali ingekuwa tete, mitandao isingekuwa kimya, taarifa zingezagaa kama moto wa petroli, kaka acha kutuletea uzushi, Kibiti imetulia fanya shughuli zako.
Alafu haoni kama nitatizoWako wapo hao M23?, au umekurupuka toka usingizini?
Hahahahaha, ulale salama ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usilazimishe chai ya rangi kuwa bia,nimekwambia lakuambiwa changanya na lako
Nawe pia mpenziHahahahaha, ulale salama ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]