Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Ni shidaaaaa...Mungu tuepushe na hili songombingo huku TZ, pia wasaidie Ndugu zetu Kenya wayajenge vyema.Maridhiano yawepo, pamoja na uchaguzi ulioonekana hauna dosari watu watatu washauawa kupitia maandamano haya
Yasijirudie pia ya 2007Ni shidaaaaa...Mungu tuepushe na hili songombingo huku TZ, pia wasaidiane Ndugu zetu Kenya wayajenge vyema.
Amani ni rahisi sana kuivunja, kimbembe ni kuirejesha upya kama ilivyokuwa awali ndipo penye kitendawili kigumu sana.
Case study [emoji117] Libya...[emoji30]