Kenya: Msanii wa Injili aomba radhi baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni

Kenya: Msanii wa Injili aomba radhi baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni

Pale ambapo madanga na yenyewe yanapo jikuta watumishi
 
Sio sahihi hilo usemalo labda huo ni ulokole wa mjini ila sisi huku vijijini bado misimamo ya imani ipo sawa. Tunailinda na kuitunza imani waliyokabidhiwa watakatifu mara moja.
Basi hongereni lakini ni swala la muda tu ila huwezi kukosa wavivu, washirikina na wasenyengaji! na kwa bahati mwanaume akichepuka anaatetewa baba alianguka! kiukweli bado ni changamoto ukubali au usikubali kwa mjadala zaidi njoo in box tutengeneze
 
walokole sio kabisa wanavyojinasibu wameokoka kumfata yesu alafu namuona binti anavyoingiza vijeba wanamkaza anapiga kelele mpaka nje zinasikika,sasa ndo ulokole gani!
 
Inasikitisha Sana,
Nmejaribu kufatilia Hii habar kwenye vyombo vya Kenya.

Inasemekena Kuna mwanaume Alikua anajaribu kumfurahisha kwa kumtumia video call, ambapo mwamba akascreen shot.

Na Martha mwihaka kupitia account Yake ya Twitter akachomoa Betri[emoji22]
Screenshot_20221103-172419.jpg
 
Aleivujisha hizo picha Martha mwihaki
Anadai mwimba injili huyo Ni taxi bubu.

Mchana anawea namba za njano, usiku anaweka nyeupe

ie: alkua anajiuza mitandaoni[emoji116]
images-1055.jpg
 
Tutaamini vipi Kama hasingiziwi?
acheni majungu au wekeni picha
 
Alitaka huyo kidume amsaidie kulipa Kodi ya nyumba
 

Attachments

  • Screenshot_20221104-200436.png
    Screenshot_20221104-200436.png
    261.4 KB · Views: 13
Back
Top Bottom