Kenya: Mwanamke akamatwa kwa kuishi na wanaume wake wawili ndani ya nyumba moja

Kenya: Mwanamke akamatwa kwa kuishi na wanaume wake wawili ndani ya nyumba moja

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Maurine Atieno wa Kenya amekamatwa na Polisi nchini humo baada ya kuonekana akiishi na Waume wawili Robert Ochieng na John Ochola ndani ya nyumba moja.

Inaelezwa Maurine amekuwa akiishi na Waume wake hao ambao pia wamekamatwa ndani ya nyumba 1 kwa wiki 2 sasa.

=====

Maurine Atieno was arrested with her first husband and her new lover

- The three have been staying under one roof for the past two weeks

- Atieno forcefully brought home her second husband and they started living together

- The second husband had been a loyal customer to Atieno in Kisumu where she sells fish

- Area chief intervened and separated the three as they sought for a permanent solution

After several days of public uproar, police in Migori County have finally swung into action and arrested a woman who was married to two men at Chamgiwadu village in Rongo.

Maurine Atieno was arrested together with her husband Robert Ochieng who they have sired two children and her new lover John Ochola.
 
Write your reply...
monkey ni watu wa ajabu sana aisee
 
It is known as polyandry. Ujinga wa Watanzania wengine ni kukosa uelewa wa kinachoendelea duniani kwa kuwa this is a normal thing in different cultures around the globe...but Danganyika uchanganye na Tanzagiza kisha uongeze LDC na Maji Maji rebellion upate most stupid Africans to ever roam this continent.
 
Duh! Kwa hiyo wewe usiye mjinga unachangia mke wako na mwanaume mwingine nyumba moja? Acha povu kijana...

Hata hivyo, kama wenyewe wameridhika sioni tatizo, lakini usirudie kuita watu wajinga eti kwa sababu mna mitazamo tofauti...
 
Sasa rudisha upuzi ndani ya hilo shimo la Tanzagiza.
 
bila shaka uyu mwanamke atakua anayo pesa ya kutosha, sio bure
 
It is known as polyandry. Ujinga wa Watanzania wengine ni kukosa uelewa wa kinachoendelea duniani kwa kuwa this is a normal thing in different cultures around the globe...but Danganyika uchanganye na Tanzagiza kisha uongeze LDC na Maji Maji rebellion upate most stupid Africans to ever roam this continent.
Duu vijana wa kenya kwa kupenda ulerezi mmetoka kwenye ushoga sasa mnaenda kuolewa wawili kwa mwanamke mmoja tatizo nini au kwakua job hakuna
 
It is known as polyandry. Ujinga wa Watanzania wengine ni kukosa uelewa wa kinachoendelea duniani kwa kuwa this is a normal thing in different cultures around the globe...but Danganyika uchanganye na Tanzagiza kisha uongeze LDC na Maji Maji rebellion upate most stupid Africans to ever roam this continent.
Nimekushtukia ww pia ni walewale
 
‪Maurine Atieno wa Kenya amekamatwa na Polisi nchini humo baada ya kuonekana akiishi na Waume wawili Robert Ochieng na John Ochola ndani ya nyumba moja, inaelezwa Maurine amekuwa akiishi na Waume wake hao ambao pia wamekamatwa ndani ya nyumba 1 kwa wiki 2 sasa.

Mwanamke huyo amekamatwa baada ya majirani kulalamika na kutaka mamlaka husika kumchukulia hatua wakidai kitendo hiko sio sahihi.

Chifu wa eneo hilo David Onyango amesema kwamba mwanamke huyo amekuwa akiishi na waume hao wawili kwa pamoja kama waume zake wa ndoa, kwa muda wa wiki mbili sasa ndani ya nyumba moja.

Ndoa hiyo ya mitala kwa wanaume hao ilitokea pale baada ya Maurine ambaye aliolewa na Robert Ochieng ambaye pia amezaaa naye watoto wawili, kurudi nyumbani akiwa na mpenzi mpya aliyetambulika kwa jina la John Ochola aliyempata kwenye shughuli zake za kuuza samaki huku akimtaja kuwa mteja wake muaminifu, na kuamua kuishi nao wote kwa pamoja.

Chifu huyo ameendelea kwa kusema kwamba wanachunguza ni kwa namna gani watatu hao wamekubaliana kuishi ndani ya nyumba moja, na kwamba ndoa hiyo ya pili ya Maurine na John imethibitishwa na mama wa John ambaye amekiri na kusema kwamba mkwe wao huyo huwa anaenda mara kwa mara kuwatembelea nyumbani kwao.

Hata hivyo uongozi wa kijiji umesema kwamba hakuna sheria ambayo inaweza kutumika kuwashtaki, isipokuwa wataangalia namna ya kuwatenganisha watatu hao, ili kuepusha majanga yoyote ambayo yanaweza tokea.

Chanzo Eatv News

FB_IMG_1537881860554.jpg
 
‪Maurine Atieno wa Kenya amekamatwa na Polisi nchini humo baada ya kuonekana akiishi na Waume wawili Robert Ochieng na John Ochola ndani ya nyumba moja, inaelezwa Maurine amekuwa akiishi na Waume wake hao ambao pia wamekamatwa ndani ya nyumba 1 kwa wiki 2 sasa.

#MillardAyoUPDATES‬

View attachment 877369View attachment 877370
Huyo OCHOLA mewezaje kufanya hiyo dhambi wakati humanright yake walishaikata?
 
Back
Top Bottom