Kenya: Mwanamke akamatwa kwa kuishi na wanaume wake wawili ndani ya nyumba moja

Kenya: Mwanamke akamatwa kwa kuishi na wanaume wake wawili ndani ya nyumba moja

Hakuna kosa apo. Labda kama Maurine angeenda kushtaki alichofanyiwa na hizo njemba. Vinginevyo hakuna ushahidi wa kosa
 
1537877750124.png


Maurine Atiano Maurine has been living with HIV openly since the early 2000s
 
View attachment 877440

Maurine Atiano Maurine has been living with HIV openly since the early 2000s
Wow!!! Sooo beautiful and lovely. Dini gani huyu muswety?? Aliwapagaisha madume mbili na wote kila mmoja akipewa zamu yake. This is a well planned living. Ka wanaume mnaruhusiwa kuishi na wake 4 kwa house 1 kwani huyu mbona yeye ni 2 tu na hata hawajawahi gombani. Mawivu zingine haihitajiki apa.
 
Aaahhhh [emoji23][emoji23][emoji23]... Wanawake wanaweza bana.

Mi nawashangaaga mnavyowadharau et hawawezi mpaka wawezeshwe
 
‪Maurine Atieno wa Kenya amekamatwa na Polisi nchini humo baada ya kuonekana akiishi na Waume wawili Robert Ochieng na John Ochola ndani ya nyumba moja, inaelezwa Maurine amekuwa akiishi na Waume wake hao ambao pia wamekamatwa ndani ya nyumba 1 kwa wiki 2 sasa.


#MillardAyoUPDATES‬

View attachment 877369View attachment 877370
Nadhani kwa kenya mwanamke ni kosa kuwa na wanaume 2
 
Huu sasa ni uonezi,

Umepewa vyotee bureee toa buree.Cc mtoni evangerical(LULU),nchi na vyote.
 
Mimi sina shida, niitwe niwe wa tatu. Nitakubali
 
It does not exist in their penal code!
Mwanamke huyo amekamatwa baada ya majirani kulalamika na kutaka mamlaka husika kumchukulia hatua wakidai kitendo hiko sio sahihi.

Chifu wa eneo hilo David Onyango amesema kwamba mwanamke huyo amekuwa akiishi na waume hao wawili kwa pamoja kama waume zake wa ndoa, kwa muda wa wiki mbili sasa ndani ya nyumba moja.

Ndoa hiyo ya mitala kwa wanaume hao ilitokea pale baada ya Maurine ambaye aliolewa na Robert Ochieng ambaye pia amezaaa naye watoto wawili, kurudi nyumbani akiwa na mpenzi mpya aliyetambulika kwa jina la John Ochola aliyempata kwenye shughuli zake za kuuza samaki huku akimtaja kuwa mteja wake muaminifu, na kuamua kuishi nao wote kwa pamoja.

Chifu huyo ameendelea kwa kusema kwamba wanachunguza ni kwa namna gani watatu hao wamekubaliana kuishi ndani ya nyumba moja, na kwamba ndoa hiyo ya pili ya Maurine na John imethibitishwa na mama wa John ambaye amekiri na kusema kwamba mkwe wao huyo huwa anaenda mara kwa mara kuwatembelea nyumbani kwao.

Hata hivyo uongozi wa kijiji umesema kwamba hakuna sheria ambayo inaweza kutumika kuwashtaki, isipokuwa wataangalia namna ya kuwatenganisha watatu hao, ili kuepusha majanga yoyote ambayo yanaweza tokea.
 
Nini mnabishana hasa.ninacho jua mimi asilimia 90 wake tulio nao tunachangia.na kama hatuchangii leo basi tuliwahi changia,so kwa namna ilivyo binafsi sishangai kwa jambo hilo lilivyo.kwani mnajifanya hamjui kua kuna wanawake wameoa wanaume?dunia inakimbia mno
 
Back
Top Bottom