Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Haipo Tanzania, hii ni picha ya Uchina au Japan. Soma lebo hapo kwenye missile.Inawezakuwa hujui unachoandika. By the way ukiandika kitu hapa usilazimishe mtu afuate unachotaka wewe.
Hapa tunaongelea facts.
Unakijua hiki kitu?
View attachment 1412467
Usikimbie sawa Wanjala!?Haipo Tanzania, hii ni picha ya Uchina au Japan. Soma lebo hapo kwenye missile.
Hivyo vimissile umeonyesha vitaenda kwa vita na nini??? Hivyo hata waasi wakongo haviwatishi.Usikimbie sawa Wanjala!?
View attachment 1412710
View attachment 1412711
View attachment 1412713
View attachment 1412718
Pwahahahah!!! naona sasa umeanza kuufyata mkia.Hivyo vimissile umeonyesha vitaenda kwa vita na nini??? Hivyo hata waasi wakongo haviwatishi.
sasa ulikuwa unatuletea picha za Korea kwa nini???
Wewe ni chizi. Baada ya Wanjala kukuumbua kuwa unatuwekea missile za China, unakimbia kupost kifaru kadogo na missile ndooogo. Wacha jokes bana. Lile dude lilikuwa linatisha na missiles nne kubwa kumbe hata sio yenu ni picha umeiba kutoka kwa internet. Wacha utoto bana. Mambo ya kupost uongo si tabia nzuri.Usikimbie sawa Wanjala!?
View attachment 1412710
View attachment 1412711
View attachment 1412713
View attachment 1412718
Bana weee!!!! Si uache tu sasa ni ujinga gani huu??.. Utaenda vita vya nani na mikebe aina hii????Pwahahahah!!! naona sasa umeanza kuufyata mkia.
Naona unataka kujikojolea
View attachment 1412746
View attachment 1412747
View attachment 1412748
View attachment 1412749
Pwahaha sasa unaanza kuleya toys.Bana weee!!!! Si uache tu sasa ni ujinga gani huu??.. Utaenda vita vya nani na mikebe aina hii????
maybe Burundi, ambao hata watuwapa kichapo. amphibious attacks ziko kwenye level ya juu nchi kama Kenya. They require stealth, accurate and fast machine. Not things that move at 0.02 nots .
KENYA NAVY
View attachment 1412791
View attachment 1412795View attachment 1412796View attachment 1412797View attachment 1412798
KENYA POLICE:KENYA COAST GUARD
View attachment 1412799
View attachment 1412800
Nakumbuka siku haya madude yanaonyeshwa Uhuru Kenyatta alikuwa haturii kwenye kiti. Hakuamini alichokuwa anakiona.Usikimbie sawa Wanjala!?
View attachment 1412710
View attachment 1412711
View attachment 1412713
View attachment 1412718
Inawezakuwa hujui unachoandika. By the way ukiandika kitu hapa usilazimishe mtu afuate unachotaka wewe.
Hapa tunaongelea facts.
Unakijua hiki kf
sijui unaweweseka kwanini...unadhani Mimi ni kilaza Kama wewe yani hata hukuwa unajua difference Kati ya Operational na firing range....alafu unataka kujifanya mjuaji😂😂.Inawezakuwa hujui unachoandika. By the way ukiandika kitu hapa usilazimishe mtu afuate unachotaka wewe.
Hapa tunaongelea facts.
Unakijua hiki kitu?
View attachment 1412467
kdf in action.... bring us any video of tpdf doing anything ..hata kuchuna korosho huko morogoro..Pwahaha sasa unaanza kuleya toys.
there is another one of an F5 doing a very low flight in training, looking for it.I also promised to post a video of KDF Huey 2 doing an extreem low fly
Hahaaa eti helicopters are just police patrols not military weapons WTF .Kuna helicopter yeyote hata nzi anaweza penya.
Taja majina ya hizo helicopters unazozisema.
Hvyo videge vyenu vinadunguliwa na mishale ya wamasai, kabla TPDF haijafanya chochote.
When I say you have a weak army ninamaanisha.
Mpaka sasa unatoa maneno matupu bila kuonesha what you have.
Your helicopters are just police patrol not military weapons.
Jitahidi kuja kivingine. We have already owned you in all aspects.
f5I also promised to post a video of KDF Huey 2 doing an extreem low fly
Are you ready for battle!?Hahaaa eti helicopters are just police patrols not military weapons WTF .
You did good to metion police coz our police have more helicopters than the entire JTWZ.
Soma hapa kwanza:-there is another one of an F5 doing a very low flight in training, looking for it.
our pilots are superb..
hahaa sikuwa nimeona hii .Am not ignorant am well informed and i know what am saying, for your information attack helicopters fired the first shots in operation Desert storm,destroying all Iraqi warning radars and SAM sites .sasa mwenye alikuambia haziezi tumika sijui ni nani.I told you that you are ignorant about military. Helicopter hutumika kushabulia baada ya fighter jet.
Tell me which weapons do you have!? Sisi tunakuja na kuondoka kwenu bila hata was kutuona. Your airspace is necked.
This will be a very long discussion .anyway there are upgraded versions of F 5...known as F 5 tiger iiSoma hapa kwanza:-
They're quite different from each other even though they are roughly the same era. They're both really good modules, although the Mig is much more mature and has a bit more detail and polish. That's not to say the F5 is substandard, but it hasn't had the time yet to fill out small details. In time that will be resolved no doubt.