Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Haipo Tanzania, hii ni picha ya Uchina au Japan. Soma lebo hapo kwenye missile.Inawezakuwa hujui unachoandika. By the way ukiandika kitu hapa usilazimishe mtu afuate unachotaka wewe.
Hapa tunaongelea facts.
Unakijua hiki kitu?
View attachment 1412467