We have been in Uganda, Congo, burundi, Zambia, comoro
Lemme remind you, all those majeshi in Somalia under UN umbrella are not fighting, ni walinda amani hao "peace keepers" hampigani , hamko vitani , ni walinzi tu , mtapigana pale tu mtakapo shambuliwa na mtafanya hivyo kwa nia ya kujilinda, kama wakirudi nyuma hamtakiwi kuwafuata, ndio maisha yenu Hapo somalia , na nyie ni sehemu ya kuwalelea hao jamaa
Labda nikurudishe nyuma kidogo
Wakati ule jeshi linaenda kupambana na M23 , Marais majirani hasa Kagame hakuafiki hili swala hata kidogo , na baada ya kuwapiga aligombana na kikwete moja kwa moja , walitaka majeshi yetu yaende kama vikosi vya kulinda amani , kikwete akawaambia mkamalize hiyo shughuli mrudi hapa, na kweli wakafanya hivyo
hao Al shabaab wako kwasababu mnawalinda , hebu waamshieni mazima uone kama atasalia hata chawa ,
mfano ulio hai na Trump na makundi ya kigaidi, kayaondoa kwa kiasi kikubwa mno, hawa watu mkawapa amsha amsha mwaka mmoja shughuli inaisha
Sent using
Jamii Forums mobile app