Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Mdomo ndio unao waponza siku zote wakenya wanasahau east Africa cc ndio baba zao Yan Kenya akijichanganya kwa Tanzania NI two days tumesha mtoa rais ikulu mkitaka mjue kua alshabab wanao wajambisha walijaribu tz wakamaliza wote ndani ya masaa 48 uko tanga. Mnajisifia Sana lakin nyie maboya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
These are low tech missiles without autonomous guiding technology. Unakumbuka zile missiles za Iran ambazo ziligonga refinery ya Saudi Arabia in a pin point fashion? Hizo missiles ndio zinatisha. Lakini hizi unguided missiles ambazo lazima ulaunch mia moja ili moja iland kwa target ni technology ya world war 2.
Pwahahahahaha!!!! What do you have by the way?
We have these:-
A-100 MRL
1586254120579.png

1586254182533.png

1586254343318.png
 
Mdomo ndio unao waponza siku zote wakenya wanasahau east Africa cc ndio baba zao Yan Kenya akijichanganya kwa Tanzania NI two days tumesha mtoa rais ikulu mkitaka mjue kua alshabab wanao wajambisha walijaribu tz wakamaliza wote ndani ya masaa 48 uko tanga. Mnajisifia Sana lakin nyie maboya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Al Shabab hawajawahi attack TZ. Wacha uongo
 
Huku Kenya na Ethiopia zikijihami, marafiki wenzetu wanaendelea kulala usingizi wa pono. Yaani hawakutumia hata $1 million kwa kununua silaha halafu wanataka kutuniana vifua na sisi. Hatuko ligi moja. Nyie tunawapa siku tatu tu na mumekaa chini mkiomba msamaha.

Ethiopia, Kenya raise military spend as East Africa arms budget hits $104 million
Saturday April 4 2020
Russia accounts for 49pc of arms exports to Africa, followed by the US and China.

A participant stands at a VPK-Ural armoured multipurpose vehicle during the 2019 Russia-Africa Summit and Economic Forum, in Sochi, Russia
A participant stands at a VPK-Ural armoured multipurpose vehicle during the 2019 Russia-Africa Summit and Economic Forum, in Sochi, Russia. Official data shows that Russia accounted for 49 per cent of arms exports to Africa in 2019. PHOTO | AFP | SPUTNIK

By ALLAN OLINGO

More by this Author

IN SUMMARY
African countries have over the years been criticised for perceived over-spending on weapons at the expense of their development budgets.
Kenya spent $32 million, most of which went to upgrading its airpower. Uganda spent $1 million, down from the $9 million it spent in 2018 while Tanzania and Rwanda did not spend on weapons.
Ethiopia received six G-120TP trainer aircrafts from Germany last year. It also received 100 57E6 SAM missile systems from Russia for its pantsyr-S1 air defense systems. Addis also received four 96K9 Pantsyr-S1 Mobile air defense system last year, from an order it made in 2018.
Russia accounts for 49 per cent of arms exports to Africa, followed by the US at 14 per cent and China at 13 per cent.
Advertisement

Eastern African countries spent $104 million on arms last year as Ethiopia and Kenya raced to modernise their defense systems, even as Rwanda, Tanzania and Uganda reduced their military spending in the same period.

The Stockholm International Peace Research Institute (Sipri) 2019 Arms transfer database report shows that Ethiopia topped military spending in the region, paying $71 million to arms suppliers last year, the highest in the region. The bulk of the money was set aside for modernising its air defense systems.

Kenya spent $32 million, most of which went to upgrading its airpower. Uganda spent $1 million, down from the $9 million it spent in 2018 while Tanzania and Rwanda did not spend on weapons. The Sipri report captures the actual delivery of arms in 2019.

African countries have over the years been criticised for perceived over-spending on weapons at the expense of their development budgets.

Ethiopia received six G-120TP trainer aircrafts from Germany last year. It also received 100 57E6 SAM missile systems from Russia for its pantsyr-S1 air defense systems. Addis also received four 96K9 Pantsyr-S1 Mobile air defense system last year, from an order it made in 2018.

Related Stories
Kenya military to receive six US-made helicopters in December
EA military spending tops $2.9b, with new hardware
EA states buy modern equipment for armies
Kenya military gets nine aircraft
Nairobi received the last batch of the three C-27J Spartan Transport aircraft from Italy ordered in 2017. It also received two of the AW139 Helicopter ordered in 2018. This delivery, Sipri says, included one helicopter “for VIP transport” from Poland.

The Kenyan military received one of two M28 Skytruck planes from the United States, which was part of a military aid deal, with the planned delivery of the last one set for later this year.

The country also received six of the Rolls-Royce AE-2100 engines for the C-27J Spartan Transport aircrafts it had ordered from Italian manufacturer Leonardo at a cost of Ksh20 billion ($200 million). They are expected to replace the ageing fleet of De Havilland Canada DHC-5 Buffalos.

Advertisement
Washington also delivered six armed MD 530F Cayuse Warrior helicopters to Nairobi, which were ordered in 2018. The deal also included initial logistics support (ILS) for the aircraft, aircraft systems and ground support equipment.

Kenya recorded a rise in its ranking on the amount spent in military arms to position 62 in 2019, from 95 the previous year, showing its increased appetite for arms imports.

The country has traditionally preferred to purchase its arms and weapons from Serbia, Russia, China and Israel; with some of these purchases now coming in from Italy and the United States.

Tanzania received three (H125 version) of the ten Airbus AS-350 helicopters for its military last year, from an order of ten it made in 2017, which included eight AS-350/AS-550 Fennec light helicopters and two other AS-532 Cougar/AS-332 transport helicopters produced from a Romanian line.

Uganda received 31 of the 45 Mamba APC. The South African Manufactured Mamba vehicles are meant for internal security purposes, and are to be assembled in the country, having been imported as knocked-down units.

The Sipri arms transfer data shows that Russia accounted for 49 per cent of arms exports to Africa, followed by the US at 14 per cent and China at 13 per cent.

The data also showed that Russia accounted for 36 per cent of arms imports by African States, China 19 per cent and France 7.6 per cent. The five largest arms importers in sub-Saharan Africa were Angola, Nigeria, Sudan, Senegal and Zambia.

East African countries splurge $104m on new arms
Sasa wewe punguani si mnataka kuzichapa huko, au umesahau?

Usiwasahau na Wasomali, usijihami uone watakufanya nini.
 
Tanzania ni nchi iliyopata baraka za kijamaa tangu kuanza kwa Taifa hili, hivyo sifa kuu ya Wajamaa ni Usiri katika mambo yao.
Mfano ni China, Russia, North Korea n.k
Kenya wao ni Mabepari, kujisifu ni sifa kuu ya nchi za kibepari, wanajihami kwa maneno mengiiiii ili waogopwe.
Ulinzi wetu ni siri yetu na Kamwe hatutoweka bayana Silaha tunazomiliki.
Hii ni nchi, hii ni Sirikali na sio Semakweli.
 
I have told you. Stop parading unguided missiles because that is world war 2 technology.
Pwahahaha!!! I told you to show what do you have!!?
Unapiga makelele tu
A-100 MRL ni ya kisasa kabisa. Africa nzima ni Tanzania pekee ipo (It has GPS system )

1586254914698.png
 
Hufatilii tatizo pia CC hua hatupend Kiki zakutangaza majanga uliza vizuri habari ya tanga kwenye mapango ya mboni kilitokea nn na walio pigwa ni kina nan wakenya mlivyo wajinga na mazoba alshabab wa West get nilisika walitoroka na hamkuwapata mkaishia kuonesha picha zao za CCTV camera nyie Kenya bado wadogo Sana kifikra na kiakil. Ila sawa ili mfanikiewe lazima mue na role model
Ukitaka ujue Tanzania ni Nan wewe Jamba tu uone utakavyo potezwa hata kabla ya ushuz kunuka

Pia mnasema tunaonea nchi ndogo hiv mmesahau Kama Uganda tulimpiga akiwa anasaidiwa na gadafi wa Libya. Nyie jichetuen tu ulim uponze kichwa
Al Shabab hawajawahi attack TZ. Wacha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somalia ambayo ni nyoko hata kwa Marekani.
Now comments like this one shows soon you will come to your senses.
Winning war is not about munitions only, if that was the case America would have won the war on Somalia back then 90's, should have won their War against Taliban in Afghanistan few days after invasion.

Vita ni moyo, ujasiri (courage), mbinu (tacts and technics), uvumilivu (endurance), nidhamu (discipline), n.k.
Above all you must be a psychological and mentality monster.

Ndio maana umeona Kenya imeshindwa kuwadhibiti Al Shabaab ndsni ya Kenya na ndani ya Somalia.

Umeona Tanzania ilivyo deal na terrorists wa Kibiti ambao sasa wana wasumbua serikali ya Msumbiji(Mozambique)?
 
W
Sasa wewe punguani si mnataka kuzichapa huko, au umesahau?

Usiwasahau na Wasomali, usijihami uone watakufanya nini.
Wewe si uende Somalia ufirwe huko maana wanakuzingua sana
 
Hufatilii tatizo pia CC hua hatupend Kiki zakutangaza majanga uliza vizuri habari ya tanga kwenye mapango ya mboni kilitokea nn na walio pigwa ni kina nan wakenya mlivyo wajinga na mazoba alshabab wa West get nilisika walitoroka na hamkuwapata mkaishia kuonesha picha zao za CCTV camera nyie Kenya bado wadogo Sana kifikra na kiakil. Ila sawa ili mfanikiewe lazima mue na role model
Ukitaka ujue Tanzania ni Nan wewe Jamba tu uone utakavyo potezwa hata kabla ya ushuz kunuka

Pia mnasema tunaonea nchi ndogo hiv mmesahau Kama Uganda tulimpiga akiwa anasaidiwa na gadafi wa Libya. Nyie jichetuen tu ulim uponze kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mna mdomo tu ila vitendo ni zero.
 
Back
Top Bottom