Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

The other day they were amassing near the Grand Renaissance Dam to showcase their might.

 
Kwan kununua vifaa vya Vita ujanja hatuna adui anaetuzunguka wote wanatuogopa ya nini kupoteza pesa bure
Kwani hujasoma article? Ndege zimenunuliwa kutoka Marekani na Italy. Ila nyie mumenunua zero yaani sufuri. Aibu kubwa. Nyie mngekuwa ni kanchi kando kabisa na Africa huko karibu na Antactica pekee yenu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you are comparing scouting work you did 40yrs ago to fighting islamist terror ??
Tanzania military has never been involved in such kind of operations ...
Uongozi wa kikwete umeenda visiwa vya comoro, uongozi wa kikwete umeenda Congo umelifuta kundi la M23 within few months.. Hapo Zambia ni mwaka jana tu uongozi huu waguful.. Islamic extremities


So Kikwete was president 40 years ago ? Magufuli was president 40 years ago ??

you empty head listen, the size of your arm au vifaa doesn't guarantee you anything kwenye vita , chances za kupigwa au kushinda ni zile zile ,

hakuna cha maana mlichofanya popote pale , mkae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KDF has established a new functioning state(jubaland) and has kept it running for over 7 yrs..something TZ has never done...
the somali army and the Ethiopian army have tried all means to kick madobe out and bring Mogadishu leaders but failed
...the work KDF has done does not need to be defended in online forums..
 
hatupiagani Somalia??? hata kama ni ujinga saa zingine mtu hufikiria kiasi...
KDF is the only amisom unit to deploy and cordinate 3 offensive units...land air and sea... none other... facts on the ground..
go argue with your Korosho harvesting army...

Yani TZ kuvuna korosho ni kazi ya Jeshi...
 
Peace keepers, walinzi, hakuna mmaepigana nae

na kama unatumia uwezo wako wote angan, baharini na ardhin bado kikundi kidogo kinakushinda utampiga nani wewe ?? mtulie hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pier Nkurunziza aliondolewa madarakan, ulituchukua muda gani kumrudisha ? less than 45 hrs sio ? nyie miaka 7 yet mnakufa kila siku , hapo congo mwaka jana , kiongozi wa jeshi alietangaza kuasi na kuanza kuipiga serikali, tulimkamata kama kuku na kumhifadhi sehemu salama , upande wa vita sisi ndio Alpha na Omage wa ukanda wetu huu

nyinyi bado wadogo sana , wadogo mno

Zambia hapo wamehangaika na kikundi cha kigaidi miaka mingapi ? operation yetu moja tu wako wapi ??

Comoro watu walisha jichukulia nchi , ulituchukua muda gani kuirudisha ??? weeks... we are better than anyone ukanda wetu huu .. force to be reckoned with

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. You have never dealt with terrorism.. There is a big difference. Tz has been dealing with simple cases of rebels n uprisings. Those are easy to finish
 
Ha ha.. You have never dealt with terrorism.. There is a big difference. Tz has been dealing with simple cases of rebels n uprisings. Those are easy to finish
Nasubiri siku na nyie waje waombe msaada kwenu mtakapokua na uwezo na kuaminika , tuone hiyo easy finish.. there is a reason why wanakimbilia kwetu kuomba msaada na sio sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri siku na nyie waje waombe msaada kwenu mtakapokua na uwezo na kuaminika , tuone hiyo easy finish.. there is a reason why wanakimbilia kwetu kuomba msaada na sio sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

of course issues to do with DRC are easier for neighbors like Rwanda, TZ, Burundi , UG to deal with coz they are part of their security interests...

same way Somalia terrorism affects Kenya and Ethiopia more than any other Nation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…