Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Nim
Mbona hamjajaribu kuja Kenya au Ethiopia au hata Somalia? Kazi ni kunyanyasa nchi ndogo ndogo na kujisifu
Nimecheka sana,yaani TZ apigane na Kenya,yaani tulivyo ndugu tupigane kwa sababu gani,nyie maneno tu yanawatosha
 
Mnajihami na nini, nzige? Hivi vita gani mshawahi pigana nyie kwa mafanikio? Wakenya kwa maelfu kila siku wanakufa na njaa halafu jitu jinga kama wewe unajisifia kununua silaha!
 
Mnajihami na nini, nzige? Hivi vita gani mshawahi pigana nyie kwa mafanikio? Wakenya kwa maelfu kila siku wanakufa na njaa halafu jitu jinga kama wewe unajisifia kununua silaha!
Walikuwa wanatumia risasi kufukuza nzige 😂😂😂
 
Labda nikuulize swali mlisha shiriki vita gani mkashinda nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu ka virus kadogo sana ka COVID-19 kanawanyuka kisawasawa pamoja na masilaha yenu yako kwenye magodown yenu. Then who is benefiting is it Nyang'ao or Watz?
 
Sisi tulizo nazo zinatosha vita sio silaa vita ni weledi na ujanja...

121.
 
you are comparing scouting work you did 40yrs ago to fighting islamist terror ??
Tanzania military has never been involved in such kind of operations ...
Go and ask M23! Also we have been in many UN Operations including Lebanon, Liberia, Congo, DRC, Dafur etc etc but TZ we are always actioners and not blowers!!
 
Go and ask M23! Also we have been in many UN Operations including Lebanon, Liberia, Congo, DRC, Dafur etc etc but TZ we are always actioners and not blowers!!
kama ni peace keeping mission za UN KDF wamefanya nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…