Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Talking of that Nimekuambia MLRS will only be effective when your opponent is a sitting duck not against a constantly moving Target.
Kenya have been operating about BM 12s that are now retired.
We now use field artillery which can easily be airdropped using helicopters making them more manuaverable.
Plus we have 40 Nora b52 self-propelled artillery .
 
Does he know how a BM 12 looks like?
 
Tatizo lako hujui majukumu ya vifaa vya kivita
self-propelled ni vifaru.
Kazi zake ni kwenye main battle
MLRs are flying Rockets with engin.
They are guarded by GPS system.

They are intercontinental range, intercounty range and within country.

BM-21 are short range.
 
umeanza vzr saaana na nilianza kuelewa mno ila sasa ukabadili gia angani kwa kuweka tena lugha sijui ya malkia.

kilichofuatia hata sikujisumbua tena kuendelea kusoma maana kasampaida kashavuruga uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko well informed, unajua mambo mengi kushinda Mtanzania wa kawaida lakini unapokosea ni kuturingia technology za zamani.
 
Miaka ile walikuwa na vifaa vizuri vya vita kuliko Kenya na Tanzania lakini bado kichapo walikipata.
 
asipoelewa hii comment, basi tena. Umemaliza ugomvi wote.
 
Uko well informed, unajua mambo mengi kushinda Mtanzania wa kawaida lakini unapokosea ni kuturingia technology za zamani.
A-100 siyo technology ya zamani. It is a new generation technology.
Hebu fikiria mwenzako anaringa kwa kumilk BM-21 What a shame!?
 
Bro just re read what I wrote maybe utaelewa what I meant.
 
Bro just re read what I wrote maybe utaelewa what I meant.
Hebu soma pale ulipoandika uweze kukicheka.
MLRs are next level.
You cannot compare with self-propelled artillery. These are two different weapons.
The longest target for self-propelled artillery is 240km but MLRs are intercontinental.

We are talking about Rockets.
 
That why nimekuambia hujui kitu wewe ni mbumbumbu.
Both PHL-03 and A-100 developed from BM-30 smerch
We have already have it.
Unachukua tu taarifa bila kufanya ucunguzi.
PHL-03 developed for Domestic usage.
Leta MRLs zenu tuzione
The PHL-03 is very different , A-100 MRL is the shit they export to poor countries...
and by the way only TZ is using the A-100 MRL from China, The Pakistanis have bought right to modify and manufacture in their own Nation...

That shit was only sold to TZ.. the way it's cheap, if it was a high quality system, most developing nations would have it.
It failed the Chinese tests for accuracy and reliability . Its carries too much fuel and leaves little room for the war-head, this design flaw affected most early Chinese Missiles.
 
Pwahahahaha!!!
Umeishiwa point.
So nioneshe MRLs zenu.
Sidhani kama hats manati mpo nazo.
 
Pwahahahaha!!!
Umeishiwa point.
So nioneshe MRLs zenu.
Sidhani kama hats manati mpo nazo.
Just say you have no reply to my rebuttal...

kenya operates several systems ,
1.BM-21 Grad
2.SA-11 BUK1M SP-SAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…