Kenya na nyie mjiandae

Kenya na nyie mjiandae

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kenya mjiandae na mjifunze yanaendelea Tanzania na Nigeria kama mtafanya makosa mwaka 2022 msije kutulaumu !!

Sitaongea sana lakini naona kiongozi mnayemuandaa kuwa Rais hapo 2022 na yeye ana elements za Rais wa sasa wa Tanzania na Raisi wa sasa wa Nigeria ni Ushauri tu

Wakenya msije mkasema tulifanya makosa
 
Safi sana. Rais ajaye wa Kenya atakuwa kama Gaddafi. Safi sana halafu zltafuata nchi zingine za Africa.
 
Kenya mjiandae na mjifunze yanaendelea Tanzania na Nigeria kama mtafanya makosa mwaka 2022 msije kutulaumu !!

Sitaongea sana lakini naona kiongozi mnayemuundaa kuwa Rais hapo 2022 na yeye ana elements za Rais wa sasa wa Tanzania na Raisi wa sasa wa Nigeria ni Ushauri tu

Wakenya msije mkasema tulifanya makosa

NIGERIA kwa sasa ni MSIBA.
 
Watakaopiga kura 2022 wana miaka 11 hadi 13 mwaka huu. Wako primary school ama wengine Form 1.

Sidhani kama watapiga kura kama generations hizo zote zingine; kura ya ukabila, nk.
 
Poa mkuu
 
Kenya mjiandae na mjifunze yanaendelea Tanzania na Nigeria kama mtafanya makosa mwaka 2022 msije kutulaumu !!

Sitaongea sana lakini naona kiongozi mnayemuandaa kuwa Rais hapo 2022 na yeye ana elements za Rais wa sasa wa Tanzania na Raisi wa sasa wa Nigeria ni Ushauri tu

Wakenya msije mkasema tulifanya makosa
Anayeandaliwa ni yule aliyekuja chato? Au nashangilia mechi ya kombe la dunia iliyofanyika korea
 
Pona yetu Kenya ni katiba mpya ambayo ndio bora Afrika yote, bure hata sisi tungekua tunachezea kichapo. Kinachowaponza Wabongo ni katiba inayompa rais jeuri ya kuibuka na kila aina ya mikwara na vitisho kila siku. Sasa hivi Kenya rais wetu hana uwezo huo, rais Uhuru amejikuta mara nyingi anakomeshwa kila akithubutu kupitiliza.

Hamna kitu kitamu kama utawala wa sheria. Kuna mambo yanatendeka Kenya leo hadi najiuliza ingekua hapo awali jamani pangekua noma. Leo hii rais yupo Mombasa, kabla aende pale alijikuta anarushiana vijembe na gavana, lakini ilimbidi rais awe mpole ili mambo yaende. Sasa wanatamba pamoja na kuzindua kila aina ya maendeleo.

Vipi Bongo mambo ya maandamano ya UKUTA mliyafikisha wapi, naskia siku ilipotimia, jeshi la JWTZ waliwajaza wanajeshi kitaa wakifanya usafi. Hehehe.. full mikwara, hapo lazima utii bila shurti. Anyway inafaa muwe wapole na kumbembeleza rais Magufuli akubali mrejee kwenye mchakato wa katiba mpya.
 
Kenya mjiandae na mjifunze yanaendelea Tanzania na Nigeria kama mtafanya makosa mwaka 2022 msije kutulaumu !!

Sitaongea sana lakini naona kiongozi mnayemuandaa kuwa Rais hapo 2022 na yeye ana elements za Rais wa sasa wa Tanzania na Raisi wa sasa wa Nigeria ni Ushauri tu

Wakenya msije mkasema tulifanya makosa
Wewe umekuwa mkenya tangu lini? na mkiambiwa mnaleta choko choko mtakuwa mnaonewa?
 
Pona yetu Kenya ni katiba mpya ambayo ndio bora Afrika yote, bure hata sisi tungekua tunachezea kichapo. Kinachowaponza Wabongo ni katiba inayompa rais jeuri ya kuibuka na kila aina ya mikwara na vitisho kila siku. Sasa hivi Kenya rais wetu hana uwezo huo, rais Uhuru amejikuta mara nyingi anakomeshwa kila akithubutu kupitiliza.

Hamna kitu kitamu kama utawala wa sheria. Kuna mambo yanatendeka Kenya leo hadi najiuliza ingekua hapo awali jamani pangekua noma. Leo hii rais yupo Mombasa, kabla aende pale alijikuta anarushiana vijembe na gavana, lakini ilimbidi rais awe mpole ili mambo yaende. Sasa wanatamba pamoja na kuzindua kila aina ya maendeleo.

Vipi Bongo mambo ya maandamano ya UKUTA mliyafikisha wapi, naskia siku ilipotimia, jeshi la JWTZ waliwajaza wanajeshi kitaa wakifanya usafi. Hehehe.. full mikwara, hapo lazima utii bila shurti. Anyway inafaa muwe wapole na kumbembeleza rais Magufuli akubali mrejee kwenye mchakato wa katiba mpya.
True. We need a new constitution ASAP!
Lakini na wewe nani alikuambia katiba yenu ndio bora Afrika nzima? Yaani wakenya kwa kujisifia hamjambo!
 
Jana nikiwa kwa mtandao nimeangua hotuba ya huyu magufuli live pemba, bwana weee huyu mzee ni dictator, hotuba yake sawa na hotuba kenya miaka ya chama kimoja cha KANU hapa kenya!!!
 
Umeona alafu kuna watu bado wanaamini ataleta katiba ni ndoto za mchana
 
True. We need a new constitution ASAP!
Lakini na wewe nani alikuambia katiba yenu ndio bora Afrika nzima? Yaani wakenya kwa kujisifia hamjambo!
Hapo hatujambo.
Thinking highly of oneself shouldn't be a crime.
 
Jana nikiwa kwa mtandao nimeangua hotuba ya huyu magufuli live pemba, bwana weee huyu mzee ni dictator, hotuba yake sawa na hotuba kenya miaka ya chama kimoja cha KANU hapa kenya!!!
I was in Kenya enzi za Moi era........and now I am in Tanzania.......sisemi kitu!
 
Back
Top Bottom